Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Mapenzi ya siku hizi bhana sijui tulikosea wapi maana tunakoelekea ndio kubaya zaidi ya hapa.
 
Je ulishawahi kukaa nae na kumwambia kuwa unahitaji akusapoti? hebu mwambie kwa upole kabisa halafu uje unipe mrejesho then ntakuambia cha kufanya.
 
Heeeeeeh situation hyooooh na bado upo tuuuuh una slay nae? Khaaaaaah hat mie mwenyewee siwezi. Amka dea fany maamuzi ambayo yatakuweka huru.
 
Wewe kama umevutiwa na muonekano vumilia tu

Hivyo viatu unaulizwa wewe ili akawavutie wenzio.

Huyo hawezi kua na mpazi bali ni bahalia na mbinu zake ni kupendeza kwa wale wadada mnaopenda muonekano hapo ndo mnaungwa matela sasa
 
Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee
Unachoka na nini hela ni zake anatumia kwani anakuomba umnunulie?wewe ulikubali kuwa mpnz wake ili uhudumiwe?
 
Nmejikuta nakuonea huruma aise, daah upo kwenye mahusiano na mtu asiejielewa 100%..
Kabla sijaamua kuwa single nilikua kwenye mahusiano na bint mmoja ambae alikua hana kaz na alikua haniombi hela ila nilikua nahakikisha nampa kias kdogo cha pesa kila baada ya muda flan, baada ya kugundua kuwa anaudhaifu flan hiv wa kutokunieleza pind akiwa na shida.
Sasa huyu jamaa yako anaekuonyesha had kiatu cha laki mbili lakin ww hakuhudumii hata kwa kukununulia dawa ya meno(whitedent ya buku), wala hata sabuni huyo anakiwango kikubwa sana cha ubinafs na wala hana upendo wowote na ww, moja kat ya viashiria vya upendo ni kuoneana huruma.
Very true[emoji108][emoji108][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, aiseee huko aliko hongera saana umetuwakilisha vyema, hujaiangusha kambi! Haiwezekani kila siku tutoe pesa sisi, good move! Ila usibweteke sana at least yale majukumu muhimu utimize otherwise.... Utaona
 
My dear, umenikumbusha mbali mimi niko kama wewe, kabla sijaolewa aisee swala la kumuomba mwanaume hela nilikuwa siwezi kabisaaa, hata nikitaka kujaribu nilikuwa napata hofu moyo unaenda mbio kama unataka kutoka 😛😀ila tofauti ya mimi na wewe, mimi hata alikuwa akinipia yy mwenyewe nahisi vibaya, so nilikuaga napambana na shida zangu mwenyewe labda aninunulie zawadi anipe hapo napokea kwa moyo wooooote ila si pesa. Anyway huyo wako inawezekana anakupenda kweli toka moyoni ila ni wale wanaume wanaotaka kama una shida utamke kwamba sina nauli, nimeishiwa naomba laki moja lakini ukikaa kimya ana assume unayo au hata kama huna basi unapakuipata yani hajiongezi wako watu wa hivyo mana kila mtua ana udhaifu wake. Lakini pia kuna wanaume wengine kama wewe si mkewe hukupi senti tano labda mtoke out mle basi, lakini hela yake huioni ng'ooooo, lakini pia inawezekana ni wale wanaume ambao hawajui kumuhudumia mwanamke au familia yani unakuta huyo hata ndani ya ndoa atakuwa hivyo hivyo anakuachia wewe majukumu yoooote tena unakuta pesa anayo kuliko wewe lakini hajigusi. So akili kichwani mwako, my opinion usikurupuke kumuacha kuna mambo mengine ya kuzingatia ambayo yatakupa majumuisho kwamba nitoke au nibaki mana wewe ndo unaemjua zaidi kuliko sisi, ukiachia mambo ya hela yukoje kwenye mambo mengine? Alafu umesema kuna siku ulimuomba hela akakwambia anajenga, kwani ulimuomba mtaji wa biashara au? manake kama ilikuwa hela ya nauli au japo laki au elfu 50 yakujikimu tu alafu akujibu eti anajenga wakati ananunua viatu hadi vya laki 2 mmh
Ni kweli Kuna siku nilijikaza saana coz roho iliiuwa inaniuma kuongea siwezi,na yeye hajui kinachoniumiza, basi tuliongea kwa simu Kama.kawaida ya Kila siku na kabla ya kulala lazma tuwasiliane, nikamwambia baby ila mm Nina shida siko vizuri financially, naomba unisaidie kiasi chochote, imagine Tena mwisho wa mwezi, akanijibu nimechelewa kumwambia ameshapanga mahitaji ya mwezi ,pia anajenga so.kawalipa mafundi nikamwambia sawa, imagine hajauliza ata kiasi ninachohitaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom