- Thread starter
- #41
Kivip mkuu?Mimi ninaishi kwa level yangu kabisaaa,Wala sijapretend maishaKama hajakuoa hilo ni jukumu la BABA / WALEZI WAKO na usipende kutamani kuishi level za juu kuliko hali yako
Kivip mkuu?Mimi ninaishi kwa level yangu kabisaaa,Wala sijapretend maishaKama hajakuoa hilo ni jukumu la BABA / WALEZI WAKO na usipende kutamani kuishi level za juu kuliko hali yako
Anajua Sina kazi , niliomba akasema nimechelewa kumwambiaNjia ya kutumia hapo ni wewe kumwambia ukweli huna kazi wala pesa na unahitaji msaada wake uone majibu yake.
Hata Mungu anajua mahitaji yetu lkni anatutaka tuseme tulitakalo.
Wewe sio main chick yupo ambae anasubiri nyumba iishe wahamieInawezekana aisee so inabidi nijiongeze
Ukweli mchingu😗Kuna mahali anapeleka hela hizo
Ukweli mchungu bossWewe sio main chick yupo ambae anasubiri nyumba iishe wahamie
Zaidi ukimuaga anakuuliza uko vizur, sasa hapo umjibuje
Ukweli mtupu🤝Nmejikuta nakuonea huruma aise, daah upo kwenye mahusiano na mtu asiejielewa 100%..
Kabla sijaamua kuwa single nilikua kwenye mahusiano na bint mmoja ambae alikua hana kaz na alikua haniombi hela ila nilikua nahakikisha nampa kias kdogo cha pesa kila baada ya muda flan, baada ya kugundua kuwa anaudhaifu flan hiv wa kutokunieleza pind akiwa na shida.
Sasa huyu jamaa yako anaekuonyesha had kiatu cha laki mbili lakin ww hakuhudumii hata kwa kukununulia dawa ya meno, wala hata sabuni huyo anakiwango kikubwa chana cha ubinafs na wala hana upendo wowote na ww, moja kat ya viashiria vya upendo ni kuoneana huruma.
Mnaingiaga mikenge Sana na watanashati..Ukweli mchungu boss
[emoji38][emoji38][emoji38]sura personal.Mnaingiaga mikenge Sana na watanashati..
Wengi wao very selfish..
Kiatu cha laki mbili halafu mpenzi hata nauli hampi?..
Atakua akukosha moyo na anavyo vaa na u handsome wake...ukimpost watsaap unajiona
Umepata ...huku unaumia kimyakimya..
Akija jamaa Sura personal..kiatu cha elfu kumi
Hata salam hupokei kumbe ana uwezo wa kukujali mara tano ya huyo
Hapo ndo nitakwama, yaan Kama hawezi jiongeza ni Bora tuachaneNa wewe hakuagizii hata hereni?
Kwa situation hiyo fungua akili my dear, naamini wewe ni mtu mzima una ufahamu wa mambo mengi.
Ila kabla ya kufanya maamuzi ongea nae kwanza, mshirikishe yaliyo moyoni mwako.
kuna mambo tunakosea sana sisi wanaume, lkn tatizo ni kubwa ni pale mwanamke anapodhani kuwa mwanaume wake anajua kila kitu kuhusu yeye...
hapa ndipo inafikia hata ndoa zinavunjikaga!
sijui km nimeeleweka?!
Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe😊
Wengine hatujazoea kuomba jamaniiUmeshindwa kumuelewa.wanaume hawanaga maonezi mengi hiyo uko vizuri hapo ndo anamaanisha unahela au huna.ohoo