Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Hivi wanaume mnapokuwa mnataka wachumba zenu au wake zenu wawapikie na wawafulie ninyi huwa hamna mikono?
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Wewe mtu wala hajulikani kwenu , ushaanza kumfulia boxer na mashuka.

Kama unadanga au upo kibiashara hapo sawa.

Kama ni mpenzi tu basi uko ni kujipendekeza so muache mara moja
 
Teh wasipopikiwa na wasipofuliwa si ndiyo hao wanaokuja humu kulalamika utasikia "mwanamke gani hawezi kumpikia wala kumfulia mpenzi wake huyo kwenye ndoa ataweza kweli"
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Njoo pm tuyajenge achana na mwanaume bahiri
 
Teh wasipopikiwa na wasipofuliwa si ndiyo hao wanaokuja humu kulalamika utasikia "mwanamke gani hawezi kumpikia wala kumfulia mpenzi wake huyo kwenye ndoa ataweza kweli"
Fallacy of generalization.

Hao watoto wasiojitambua hatuwez kuwatumia kama sample.

Lazima kuwe na tofauti ya mpenzi na mwenza wa ndoa
 
Kila mmoja ashinde mechi zake.
Wewe mtu wala hajulikani kwenu , ushaanza kumfulia boxer na mashuka.

Kama unadanga au upo kibiashara hapo sawa.

Kama ni mpenzi tu basi uko ni kujipendekeza so muache mara moja
Hayo mazingira huwa mnayatengeza wenyewe.Mara unamwita geto.Akija ndo hivyo akikuta geto halieleweki anaanza kufanya usafi na mengine kama kupika na kufua.Kama hutaki hayo kutaneni sehemu nyingine na sio kwako.Na nyie muache mara moja
 
Asante
 
Kuitwa geto haimaanishi umeitwa kufua.

Kama ukitaka kufua fua at your own cost sio ufue utegemee mwanaume akupe malipo in terms of cash
 
Hivi wanaume mnapokuwa mnataka wachumba zenu au wake zenu wawapikie na wawafulie ninyi huwa hamna mikono?
Sasa si unagombea jimbo? Jitume ukishapita utaleta uvivu ukiwa kwako.
 
Baba Mchungaji kwani huyo jamaa anakosea eti?
Mama Mchungaji.....
Haya mambo ya mahusiano/uchumba/ndoa ni mambo ngumu sana kuzishauri. Na hii ni ngumu zaidi kushauri hasa unapo sikia oneside of the story.
Lakini pia, sioni Kama ni Jambo lenye afya ama kujenga ikiwa mmoja kati ya wawili atatoka nje yao na kutafuta ushauri kwenye social networks ilkhali wangeweza wakaongea wao ana kwa ana na wakajiweka sawa kwa kila mmoja kusema kinacho mkwaza.
 
Na wewe hakuagizii hata hereni?
Kwa situation hiyo fungua akili my dear, naamini wewe ni mtu mzima una ufahamu wa mambo mengi.
Ila kabla ya kufanya maamuzi ongea nae kwanza, mshirikishe yaliyo moyoni mwako.
Sio rahisi, we unadhani itakuwa rahisi kwake mkuu? Sio kwamba hajui ila roho ikishapenda tall handsome and black huwa mna stack!

🤣🤣🤣 Ni matukio tu hadi atapopewa kadi ya mualiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom