Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Wengine hatujazoea kuomba jamanii
Sasa kama hujazoea kuomba mbona umekuja kuomba ushauri huku.au mimi ndo sijaelewa.

Yani mwanaume anaujua utupu wako unashindwa kumwambia bae sina hela ya kutumia na anajua kabisa uko nyumbni hunakazi!!

Piga chini huyo sexy partner.bora uteseke uko peke yako kuliko uko na mtu ambae anakutumia kingono..si bora umuuzie tu!

Aise kuna vitu huwa siviombeagi ushauri kabisa.nikishatumia njia ya MAGAZIJUTO nausikiliza moyo unataka nini ndipo nafanya maamuzi peke yangu tena nikiwa katika hali ya kawaida..sio wakati wa furaha sana wala huzuni.sitaki kuwapa watu lawama.Yes vitu vingine kama ni vizito naomba ushauri then naanza kuuchekecha.

Uliyenae nae ni Sexy Patna sio mpenzi fullstop
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu Cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi Sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Hapo ndo wanawake mnapokoseaga.

Sasa unataka akuhudumie hata kabla hujaingia kwenye ndoa ili umpende?!
What if huo ni mtihani, ili ukipass akuweke kwenye ndoa, ndo akuhudumie kila kitu!!
Kwani imeandikwa wapi mwanaume wajibu wake ni kumpa mwanamke hela!? na kwanini iwe hela na sio mgegedo!
 
My dear, umenikumbusha mbali mimi niko kama wewe, kabla sijaolewa aisee swala la kumuomba mwanaume hela nilikuwa siwezi kabisaaa, hata nikitaka kujaribu nilikuwa napata hofu moyo unaenda mbio kama unataka kutoka 😛😀ila tofauti ya mimi na wewe, mimi hata alikuwa akinipia yy mwenyewe nahisi vibaya, so nilikuaga napambana na shida zangu mwenyewe labda aninunulie zawadi anipe hapo napokea kwa moyo wooooote ila si pesa. Anyway huyo wako inawezekana anakupenda kweli toka moyoni ila ni wale wanaume wanaotaka kama una shida utamke kwamba sina nauli, nimeishiwa naomba laki moja lakini ukikaa kimya ana assume unayo au hata kama huna basi unapakuipata yani hajiongezi wako watu wa hivyo mana kila mtua ana udhaifu wake. Lakini pia kuna wanaume wengine kama wewe si mkewe hukupi senti tano labda mtoke out mle basi, lakini hela yake huioni ng'ooooo, lakini pia inawezekana ni wale wanaume ambao hawajui kumuhudumia mwanamke au familia yani unakuta huyo hata ndani ya ndoa atakuwa hivyo hivyo anakuachia wewe majukumu yoooote tena unakuta pesa anayo kuliko wewe lakini hajigusi. So akili kichwani mwako, my opinion usikurupuke kumuacha kuna mambo mengine ya kuzingatia ambayo yatakupa majumuisho kwamba nitoke au nibaki mana wewe ndo unaemjua zaidi kuliko sisi, ukiachia mambo ya hela yukoje kwenye mambo mengine? Alafu umesema kuna siku ulimuomba hela akakwambia anajenga, kwani ulimuomba mtaji wa biashara au? manake kama ilikuwa hela ya nauli au japo laki au elfu 50 yakujikimu tu alafu akujibu eti anajenga wakati ananunua viatu hadi vya laki 2 mmh
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu Cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi Sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?

Kwa sifa hizo inaonekana huyo bwana ako ni mtoto wa mwisho kwao na waliomtangulia walikuwa ni watoto wa kike.
Kweli ama sio kweli?

Kama ni kwel nambie nikupe ushauri
 
Kabla haujammwaga inabidi umweleze ajue. Watu wengine uenda anaogopa hata kumpa hela mwanamke kwa jinsi Maisha aliyokulia wakati wengine hata tukikutana na demu akabahatika kukaa karibu yako unalipa nauli na unaomba namba ya simu na akikupa cha kwanza unamtumia 20,000 ya kuweka vocha
 
Sijui nani alileta Mfumo tegemezi wa wanawake kwa wanaume

Kwani we huna Mikono?
Si ufanye kazi?

Kwani we kwanini usimpe unategemea kupewa? Mnajishusha Sana wanawake, !!!
Kiongozi unataka ulingane na wanawake kimajukumu mkuu?

Kama huna pesa omba akusaidie kama anazo ki uhalisia jukumu ni la mwanaume bila kujali anapesa au la
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu Cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi Sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Ndugu dada yangu/mdogo wangu mwanaume ambaye hakuonyeshi mapenz kipindi hiki usitegemee kwamba atabadilika, instead hakupendi ila anakutumia. Kufanya maamzi magumu ni ww kusuka au kunyoa, inategemean na ww unataka future yako iwe je. Ila sidhani kama ni nzuri kwa mtindo huo, though uzuri wa kitu ni too relative
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu Cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi Sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
 
pole sana dada bt hata sisi wanaume tunashangaa sana kujua wanawake wasioomba pesa bado wapo duniani, hongera sana kwa moyo wako bt kama ataendelea kuzingua nipgie 00854%&#@* ntakupokea haraka sana ili upate huduma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom