Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

Naomba nikuulize wewe sasa....wakati unafanya kazi je yeye alikuwa anatumia pesa yako pindi ukiwanayo?

Swali la pili,mahusiano yenu yanamuda gani?
Huu ni mwezi wa Saba sasa.nimejuana na e baada ya mwezi mmoja mkataba wa kazi ukaisha
 
Sijui nani alileta Mfumo tegemezi wa wanawake kwa wanaume

Kwani we huna Mikono?
Si ufanye kazi?

Kwani we kwanini usimpe unategemea kupewa? Mnajishusha Sana wanawake, !!!
Yaaani huu mfumo ni wakijnga sana ..iimefikia hatua wanawake kupewa pesa na wanaume wanaona kuwa ni wajibu wao ..hata Kama hawaja zitolea jasho
 
Ni kweli Kuna siku nilijikaza saana coz roho iliiuwa inaniuma kuongea siwezi,na yeye hajui kinachoniumiza, basi tuliongea kwa simu Kama.kawaida ya Kila siku na kabla ya kulala lazma tuwasiliane, nikamwambia baby ila mm Nina shida siko vizuri financially, naomba unisaidie kiasi chochote, imagine Tena mwisho wa mwezi, akanijibu nimechelewa kumwambia ameshapanga mahitaji ya mwezi ,pia anajenga so.kawalipa mafundi nikamwambia sawa, imagine hajauliza ata kiasi ninachohitaji
Mtu akitaka kukunyima kitu utamsoma tu kwa majibu yake yaani atakua na visababu kama vyote.
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Hapo unaposema anajua wajibu wake kwa mpenzi wake.

Unaweza kuielezea hadhara ya jamii forum wajibu wa mpenzi wa kiume kwa mpenzi wa kike ni upi ?
 
Unapimwa uvumilivu hapo,ukiingia kwenye ndoa kuna zaidi ya hayo,endelea kufanya mazoezi ili ukomae,usikate tamaa mpaka hatimaye utashinda hiyo mitihani,lakini ukisema umuache unaweza kuja kukutana na kimeo mpaka ukajuta,si unajua jinsi tulivyokuwa wachache...?
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
mimi huwa nashangaa jambo moja hapa hivi kwanini wanawake huwa wanaisi kuwa wao walizaliwa kwajili ya kupewa na mwanaume tu nahili swala limekuwa hatamwanake awe napesa asipo pewa pesa na mwanaume anajiona hajakamilika kuitwa mwanamke hivi nyie nani kawaroga acheni hizo bana
 
Wanawake wa aina yako ndio mnaosababisha wanawake wengine waonekane vibaya mbele ya jamii.Wanawake mnaowela mbele maslahi ya pesa kuliko utu.Mapenzi yako kwake hayakuwa ya kweli bali yaliangalia pesa na huduma jambo ambalo si sahihi.Pia inawezekana akahudumia vyema watoto lakini bado ukaona wewe unastahili kuhudumiwa,Jambo ambalo ni ubinafsi wa hali ya juu.Unampenda yeye kama alivyo au unapenda huduma? Na hiyo huduma ni kwako au kwa watoto? Je wewe haustahili kutoa huduma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa nashangaa jambo moja hapa hivi kwanini wanawake huwa wanaisi kuwa wao walizaliwa kwajili ya kupewa na mwanaume tu nahili swala limekuwa hatamwanake awe napesa asipo pewa pesa na mwanaume anajiona hajakamilika kuitwa mwanamke hivi nyie nani kawaroga acheni hizo bana
That is nature, huwezi pingana nayo.
 
mimi huwa nashangaa jambo moja hapa hivi kwanini wanawake huwa wanaisi kuwa wao walizaliwa kwajili ya kupewa na mwanaume tu nahili swala limekuwa hatamwanake awe napesa asipo pewa pesa na mwanaume anajiona hajakamilika kuitwa mwanamke hivi nyie nani kawaroga acheni hizo bana
Hivi uko kwenye mahusiano na mtu hajawahi kukuomba.pesa hata siku moja , anapokwama.akikushirikisha ni dhambii?
 
Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusiano
ANAFANYA SAWSAWA KABISA. Kama anakuja kwako au hata kukufuata mahali kwa naulivyake ni vipi wewe akurudishie uliyotumia kumfuata? MAPENZI NI KUTOKA MOYONI SIO NAULI WALA PESA WALA KUNUNUNULIWA VIZAWADI.Piga nyungu uolewe hayo ni automatiki. Nakuona kama wale wanaomtupia mume majukumu yote ya kuanzia mavazi,chakula, hspital, shule, kujenga nyumba za familia, gari nk. Mshahara wako HAUTAONEKANA!!! KWENYE HAYO MAJUKUMU
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa Kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie Kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema Hana ata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa unayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza Kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake,lakini anajua wakati ninaopitia Sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yy anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienae ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa ,ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia?mwanaume ambae hwwezi kukupa ata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini Nina nawaza labda atabadilika.

Je nitumie njia gani kumrekebisha Kama ipo?
Njia sahihi ni kuja DM kwangu tu tuyajenge 😎 huyo hakupendi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom