Wanaume anachofanya huyu mwenzenu ni sawa?

HII TRICK NI NZURI. INAMWANDAA MWANAUME ANAYEKUTONGOZA KUJA KUKUHUDUMIA. HIVYO ANAYEKUJA ANAKUJA KABISA AKIJUA ANAPASWA AWE ANAKU SPONSOR.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MJINI HAPA AKILI KICHWANI. VIJANA WAPUUZI WATAMIMINIKA SANA NA ITAKUWA TU RAHISI WEWE KU REFER HII THREAD "UNAJUA LOVE HALI YANGU KAMA NLIVYOANDIKA KWENYE ILE THREAD"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee
 
Ili umsahau, inakupasa uanzishe urafiki na boi mwingne. Karibu Madam..
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.

Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Pole
 
Una uhakika wewe ni mpenzi wake kweli au mpita njia tu?
 
Pagumu, Kuna mambo matatu:

1. Huonyeshi kabisa dalili ya uitaji, unataka ajiongeze, na yeye kwa asili sio gentleman.

2. Ni Mbwa na mchoyo wa kupitiliza kabisa, na hataki upate kiru.

3. Amepitia magumu sana, na Hana hela Kabisq, ila hataki kukiri.

Ufanyaje;

1. Mchana kistaarabu sana kwamba una wakati mgumu na sikia reaction yake.

Akizingua, jua hakuna mtu hapo, usimbasilishwley utakuwa unaelekea kwenye matusi.

Wanaume hatuko kama huyo wako
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.

Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
wewe nataka upewe vitu / hela za matumizi....hivi unajiulizaga wewe unachangia nini kwenye ilo penzi lenu? Kabla ya kuwa na huyo jamaa ulikuwa unaishije hapo awali? Wanawake mmezidi kuwa mizigo mpaka mkakera mno.
 
Najua mu wazima wa afya njema, mnaoumwa Mungu awafanyie wepesi mpone haraka.

Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri kwenu na kueleweshwa kama ni sahihi kwa mwanaume kuhitaji mpenzi wako akufanyie kila kitu, unachotaka bila ya wewe kumjali?

Kumjali namaanisha hujui amekuja kwa nauli gani, mnawasiliana na hata ikitokea akisema hana hata credit hawezi kukuwekea, wakati pesa anayo?

Yupo radhi akuonyeshe kiatu cha laki mbili kwenye mtandao na anakuuliza kama ni kizuri ili akinunue lakini sio kukujali hata kwa kidogo wewe mpenzi wake.

Sina maana kwamba ni wajibu wake, lakini anajua wakati ninaopitia sasa kwa sababu kazi sina lakini nipo kwenye mchakato wa kutafuta na ninaamini nitapata.

Kwa upande wangu sijazoea kuomba pesa kabisa kwa mwanaume, najua yeye anajua wajibu wake kwa mpenzi wake, lakini ninajiuliza kwa huyu mwanaume nilienaye ikifikia hatua tumeingia kwenye ndoa, ataweza kunihudumua kweli pamoja na familia? Mwanaume ambaye hawezi kukupa hata senti yake?

Inafika muda natamani nifanye maamuzi magumu ya kumuacha lakini ninawaza labda atabadilika.

Je, nitumie njia gani kumrekebisha kama ipo?
Huna akili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom