- Thread starter
- #21
Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusianoHajawahi hata kukutoa out kula lunch au dinner
Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusianoHajawahi hata kukutoa out kula lunch au dinner
Duh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.Yaan huwezi amini, anakuaga na unaondoka Kama ulivyokuja, sijawahi ona hi, na akikuaga anakwambia ukifika nijulishe😊
We jinsia ipi?Wanaume wa hivyo wengi Sana karne hii huduma zote hawatoi hata kitandani zero
Nilijaribu kumwambia akanambia why sikumwambia mapema, coz anajengaDuh ..he is my hero hahah Kwa huo ujasiri.
Lazima kuna mtu alikuwa willing Ku spend hela yake kwako ukamdengulia ..so karma is punishing you...
Hebu mwambie Una shida ya hela umsikie
Daa itabidi uhamie tu kwangu[emoji2][emoji2]Hajawahi Best
Akimaliza kujenga utasikia kaoa trust me..Nilijaribu kumwambia akanambia why sikumwambia mapema, coz anajenga
Nikamwambia akanambia nimechelewa kumuomba now anajengaMuombe kama una shida.
Pengine anahisi hauna shida na hivyo bado hamjaoana. Sio jukumu lake kivile.
Ukute upendo umepungua! Angalia hatima yako kisha fanya maamuzi sahihi.Alishawahi Kama Mara tatu hivi, mwanzon mwa mahusiano
Inawezekana aisee so inabidi nijiongezeAkimaliza kujenga utasikia kaoa trust me..
Na wanawake wote Wako hvy. Yaani anakitu kichwani but eti anataka nawewe ukijue ilhali hujamwambiakuna mambo tunakosea sana sisi wanaume, lkn tatizo ni kubwa ni pale mwanamke anapodhani kuwa mwanaume wake anajua kila kitu kuhusu yeye...
hapa ndipo inafikia hata ndoa zinavunjikaga!
sijui km nimeeleweka?!
Sawa nitazingatia hiloUkute upendo umepungua! Angalia hatima yako kisha fanya maamuzi sahihi.
Anajua hujaaliwa halafu hakupi hata mia! Hata backup hakupi.Anafeli sana huyo mwenzetu.
Kibarua ninacho lakini kunakipindi naweza kwama je siruhusiwi kuomba msaada ?baba huna kwa kumwomba Hela ? mama je ?
kazi huna ? acha kua tegemezi dada tafuta kibarua fanya
Na wewe hakuagizii hata hereni?Kinachoniudhi ukiwanae anataka umshauri vitu kama viatu au nguo Kama ni nzuri anataka kuagiza,kwenye mtandao,na nivyagharama.hadi nachoka aisee
mahusiano yanahitaji maarifa.Na wanawake wote Wako hvy. Yaani anakitu kichwani but eti anataka nawewe ukijue ilhali hujamwambia