kununua kiwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na 10m Leo, utachagua kufanya nini kati ya hivi? Kufungua pharmacy AU duka la hardware AU kununua kiwanja?? Kipi bora

    Kununua kiwanja pia ni uwekezaji ? Nayo ni biashara ??
  2. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanaume Una Miaka 20 Mjini, Hata Kiwanja cha Miguu 5 Huna? Rudi Kijijini Ukalime

    Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta. Hivi inakuwaje mwanaume mzima, una akili zako timamu, upo mjini miaka 15 hadi 20—eti unatafuta maisha. Swali langu ni...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kiwanja Zanzibar

    Hatua gani nifuate nimiliki hata 20 kwa 20 hapo zenji, mimi ni mtu wa kupenda sana maeneo, mashamba, vitu kama hivyo yani. Kwa ukubwa wa 20 kwa 20 meter, zanzibar nnje ya mji inaweza kua shngapi?
  4. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kama umejipata ni Bora Kununua kiwanja kuliko kununua gari la pili au la tatu.

    Habari wakuu. Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma. Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa. Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei. Hivyo basi nakupa hiki...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
  6. Aare Maduhu Kopano

    JamiiForums Tanzania Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

    A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua kiwanja

    Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kununua kiwanja

    Wakuu nianze kwa kutoa salamu kwa wote ikiwa ni pamoja na pole kwa mihangaiko ya siku. Tukirudi kwenye kwenye kichwa cha habari, nimekiwa nikiishi kwenye nyumba za kupanga karibia miaka mitano hapa dar ila kwa sasa nafikiria nitafute kiwanja nijenge. Wazo la kwanza nafikiria nitafute kiwanja...
  9. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbande

    Maisha ni nyumba guys, na kabla ujenge lazima uwe na kiwanja. Hata usipoishi huko we jenga pangisha na uwe urithi kwa watoto baadaye. Ft. 60x50, kipo mbande, mwenyewe anashida anamgonjwa so maongezi yapo hamtashindwana, bei 4M ft.
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanateseka kwaajili ya majirani / jirani mbaya

    Unapotaka kununua nyumba au ardhi kwaajili ya makazi yako weka sana umakini wa kuchunguza wakinanani wanakuwa majirani zako na ni watu wa aina gani usiishie tu kuangalia uzuri wa nyumba unayotaka kuinunua au hiyo ardhi kumbuka kuna watu watakuwa majirani zako . Kuna watu leo hii wanateseka...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  12. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  14. SaidJuma123

    JamiiForums Tanzania Wapi ni sahihi kujenga nyumba ya Maisha kati ya Kigamboni Gezaulole au Goba?

    Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kigamboni vs Mkuranga, Wapi Panafaa Kununua Kiwanja Kwa Ajili ya Asset?

    Nimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga.. Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya Mkuranga na Kigamboni naweza nunua kiwanja/viwanja Kwa Ajili ya kutunza kama asset Ili nije niuze...
Back
Top Bottom