Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 1,809
- 2,227
Hivi huyo Abdul atalindwa na TISS maisha yake yote baada ya mamake kustaafu urais naona anajiamini kuliko hata TISS wenyewe

Kuna jamaa anauza mitumba pale kinondoni anaitwa Aziz, jana nilienda dukani kwake kutafuta kiatu nikakuta pamefungwa ndio maduka ya jirani wakasema ni one of those waliokamatwa kenya kwa kuteka,niliuliza imekuaje, stori ikawa hiviHawa Wakenya sio wa kuwaamini sana.
Ngoja kutulie kidogo ,kuna kitu nikumbuke.. Kumbe unaweza kuishi na chatu ndani ya nyumbaKuna jamaa anauza mitumba pale kinondoni anaitwa Aziz, jana nilienda dukani kwake kutafuta kiatu nikakuta pamefungwa ndio maduka ya jirani wakasema ni one of those waliokamatwa kenya kwa kuteka,niliuliza imekuaje, stori ikawa hivi
Msimuliaji: Mwakajana Aziz alipata bonge la mteja anaitwa Hidary Msuya, akawa anamuungisha biashara nyingi sana na wakajenga mazoea ya karibu, mara akamtambulisha kwa abduli na akawa anampitia hapo dukani kila siku wanaenda kula bata, mara nyingi walikua wanakutana kigamboni au Arusha kwenye jumba la Mafwele,kwa kua Aziz ni mwenyeji sana Nairobi na Mitumba yake huwa anaichukulia Nairobi jamaa wakaanza kwenda nae Nairobi sisi tukajua ni mambo ya Biashara, kiukweli Azizi alibadilika akawa mtu wa bata na mwenye pesa nyingi huku biashara akawa hafungui tena
Majuzi akatuaga anaenda arusha na huyo msuya mara tukasikia yupo Nairobi hatukujua ameenda kukusanya mzigo, baadae tukapigiwa simu na baadhi ya wafanyabishara wenzetu kule kwamba Azizi amekamatwa Namanga wakiwa wamemlewesha huyo mwanaharakati wanamleta Tanzania
Mpaka sasa mke wake hajui alipo na hqkuna aliemwambia kwamba mumewe amekamatwa,mke ni mzazi mtoto wa miezi sita, inasemekana aziz aliahidiwa pesa nyingi sana na Abdul na alipewa down payment ya maana
Hii ndio story niliyoikuta pale kinondoni dukani kwa aziz
Mshana Jr huyu jamaa utakua unamjua ni mwarabu koko wa tabora
Trust no body aisee,unawez akuingizwa king unajiona,imagine genge la mafwele linatumia raia wenzetu wa kawaid akabisa kw akuwarubuni na kodi zetuNgoja kutulie kidogo ,kuna kitu nikumbuke.. Kumbe unaweza kuishi na chatu ndani ya nyumba
kuna post ya maria sarungi kule x yan ukiunganisha na hii unapata ukweli wote 100000%Kuna jamaa anauza mitumba pale kinondoni anaitwa Aziz, jana nilienda dukani kwake kutafuta kiatu nikakuta pamefungwa ndio maduka ya jirani wakasema ni one of those waliokamatwa kenya kwa kuteka,niliuliza imekuaje, stori ikawa hivi
Msimuliaji: Mwakajana Aziz alipata bonge la mteja anaitwa Hidary Msuya, akawa anamuungisha biashara nyingi sana na wakajenga mazoea ya karibu, mara akamtambulisha kwa abduli na akawa anampitia hapo dukani kila siku wanaenda kula bata, mara nyingi walikua wanakutana kigamboni au Arusha kwenye jumba la Mafwele,kwa kua Aziz ni mwenyeji sana Nairobi na Mitumba yake huwa anaichukulia Nairobi jamaa wakaanza kwenda nae Nairobi sisi tukajua ni mambo ya Biashara, kiukweli Azizi alibadilika akawa mtu wa bata na mwenye pesa nyingi huku biashara akawa hafungui tena
Majuzi akatuaga anaenda arusha na huyo msuya mara tukasikia yupo Nairobi hatukujua ameenda kukusanya mzigo, baadae tukapigiwa simu na baadhi ya wafanyabishara wenzetu kule kwamba Azizi amekamatwa Namanga wakiwa wamemlewesha huyo mwanaharakati wanamleta Tanzania
Mpaka sasa mke wake hajui alipo na hqkuna aliemwambia kwamba mumewe amekamatwa,mke ni mzazi mtoto wa miezi sita, inasemekana aziz aliahidiwa pesa nyingi sana na Abdul na alipewa down payment ya maana
Hii ndio story niliyoikuta pale kinondoni dukani kwa aziz
Mshana Jr huyu jamaa utakua unamjua ni mwarabu koko wa tabora
Mshauri wetu anaitwa shetani.Tunazidi kuharibu sijui mshauri wetu mkuu ni nani
Mi mwenyewe nashangaa..Hivi huyo Abdul atalindwa na TISS maisha yake yote baada ya mamake kustaafu urais naona anajiamini kuliko hata TISS wenyewe