Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Sielewi una maana gani na huo mstari wa pili. Naamini hukunuia uwe kama ulivyowasilishwa hapa.
Eeh maana yangu ni kwamba tunapoteza pesa kuunda tume, wizara ya vijana, sijui kamati ya maradhiano na kuzunguka huko nje ilihali hatuna nia ya kubadilika sasa si kupoteza fedha.

Ndio maana nasema waendelee kuteka tu hakuna haja ya kupoteza fedha huku wanajua hawataki maridhiano.
 
Hii 'mentality' imetokea wapi tena mkuu zitto jr., maana najuwa wazi kabisa kuwa wewe siyo mtu wa kuandika maneno ya kukata na kukatisha tamaa kama hayo ya "...hakuna haja ya kupoteza fedha, muda..."; na eti wafanye nini? "....waendelee kuteka"?

Utakuwa umebadilika sana katika huu muda mchache ambao umekuwa husikiki humu JF, kama uamini wako umefikia kwenye kiwango hiki

Sikuamini nilipokusoma mara ya kwanza,. Sasa umekazia na kuthibitisha kuwa hayo ndiyo maneno yako na unayasimamia bila ya shaka yoyote?

Samia na Genge lake lote wanatamani sana iwe hivi unavyoshauri wewe hapa ili waendelee na miaka yake mitano.

Tuambie mkuu wewe unashauri nini hasa?

Tafadhali tuambie kwa lugha rahisi tuelewe unachofikiri.
 
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa wakihusishwa na tukio hilo. Inadaiwa kuwa kulikuwa na mpango wa kumrudisha Tanzania kwa lazima.

Mashirika hayo yamepongeza hatua za polisi wa Kenya kwa kumlinda na kuzuia tukio hilo. Pia yameomba uchunguzi wa wazi ufanyike na wote waliohusika wachukuliwe hatua.

===

The Law Society of Kenya and Amnesty International Kenya commend the swift, coordinated action taken yesterday, Sunday 22 February, by officers from the Lukenya and Kyumbi Police Posts, DCI Kyumbi, and other national and county security and government agencies. The action led to the rescue of Tanzanian human rights defender Mshabaha Mshabaha Hamza and the arrest of three suspects involved in what appears to have been a violent, premeditated abduction and forceful rendition to Tanzania.

According to documents before the court, officers responded promptly after Mr. Mshabaha resisted his attackers and was dumped at the Lukenya stage, drugged and injured. Police officers intercepted their vehicle and arrested three occupants: Edward Mwangi Mwai, a Kenyan residing in South Africa; Nelson Wanjohi Kirika, the driver; and Aziz Hamad, a Tanzanian national.

Mshabaha Mshabaha Hamza is a well-known Tanzanian human rights defender. He has been active in regional advocacy on democracy, accountability, and justice, particularly following the 2025 post-election violence in Tanzania. He is a member of the Pan‑African Solidarity Network, a collective committed to resisting authoritarianism across Africa.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya welcome the decisive intervention by the Kenyan authorities to protect his life and prevent his forced rendition to Tanzania. The action reflects Kenya’s constitutional and international obligations to safeguard all individuals, especially human rights defenders, who face heightened risks.

We now call for:

  • A full, transparent, and impartial investigation into the identities, motives, and networks that were waiting for his delivery to the Kenya-Tanzania border
  • Accountability not only for the suspects arrested and the immediate arrest of any individuals, whether in Kenya, Tanzania, South Africa, or elsewhere, who may have planned, financed, or directed the attack.
  • Closer collaboration between human rights organisations and Kenyan authorities to protect human rights defenders, especially those in exile or in cross-border contexts.
Attempts to abduct, harm, or silence activists violate fundamental freedoms across the East African region. Kenya must ensure that its territory is never used for transnational repression, rendition, or attacks on those exercising their right to defend human rights.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya will continue monitoring the case and supporting efforts to secure justice for Mshabaha and safety for all human rights defenders working in Kenya and the region.

Cross boarder organized crimes
 
Kenya waturudishie raia wetu, wasitake mikwaruzano na sisi watanzania
 
TISS ina vitengo vyote,hadi uhandisi
Hivyo vitengo vingine ni mbwembwe tu kitengo kamili walichonacho ni utekaji nyara, utesaji na mauaji.

Wako wapi akina Benny Saanane, Azory Gwanda na wengine wengi.
 
Tuambie mkuu wewe unashauri nini hasa?

Tafadhali tuambie kwa lugha rahisi tuelewe unachofikiri.
Sina kumbukumbu nawe. Sijui kama nilishakusoma popote humu JF wala kujibu maoni yako wakati wowote.

Huyo aliyeelekezwa maandishi hayo ni mtu ninayemfahamu siku nyingi humu JF; kwa hiyo yeye atakuwa anajuwa vyema ninachoeleza na asingeweza kudai maelezo kama unavyodai wewe hapa.

Na hata wewe; kama ni msomaji mzuri wa maoni humu JF tokea ujiunge humu au kabla, usingekuwa mgeni kwa maoni yangu na kutaka "niwaambie nashauri nini hasa", kwani maoni yangu yametapakaa humu kila mahali.

Lakini pia, ungekuwa ni mtu makini, usingeonyesha kuunga mkono hayo anayoshauri huyo niliyemjibu; kwa sababu ushauri wake ni kinyume kabisa na maslahi ya taifa hili. Sasa basi, kama mmeamua kununuliwa na hawa waovu, jitambuulisheni waziwazi ili tujuwe kwamba nyoinyi sasa ni sehemu ya huo uovu wanaofanyiwa waTanzania.

Kamwe usithubutu tena kuniambia "waache tu waendelee kuwateka na kuwaua waTanzania".

kama wewe umeamua kufanya hivyo; kaa pembeni, juhudi za kuikomboa Tanzania zitaendelea kwa njia mbalimbali; huna umuhimu wa wewe kuelezwa njia hizo ni zipi.
 
Wakenya wawili, mtanzania mmoja kwa mjibu wa taarifa hyo!

Hao watanzania wengi ni wangapi hapo?
 
Wewe mzee una shida 😁

Ni vipi nimegeuka adui kisa nimeuliza swali?

Na wapi nimesema napinga watanzania wanaodai kuikomboa nchi kama unavyodai?
 
Elewa tu jambo moja. Huwa sina simile na wapuuzi. Swali lako lilikuwa la kipuuzi.

Mimi kuwa na "shida" You bet, nina shida. Inapokuja swala ta Tanzania kuchafuliwa kama inavyochafuliwa sasa; unaweza kuniita chochote unachotaka mwenyewe.

Natumaini hutakuwa na mashaka tena juu yangu kuhusu maswala haya.
Kwa nini nsiwe na shida wakati waTanzania wanatekwa na kuuliwa; halafu unanitaka nikueleze kitu gani tena?

Tusipoteze muda na hawa wauaji; tukubali yaishe?

You must be out of your senses to allow such nonsense takeover your mind!.
 
Mimi siwezi furahia watanzania kuuawa.

Ni wewe tu kwenye bichwa lako una complicate mambo
 
Back
Top Bottom