Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Idara ya Ujasusi ya Tanzania (TISS) iliyoko chini ya Samia imezidi kuaibika kimataifa na kujianika wazi kwa namna inavyoratibu na kuendesha matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania wanaoukosoa utawala wa CCM.

Shirika la Haki za Binadamu la Kimataifa Amnesty International limeripoti leo operesheni iliyofeli ya wapumbavu TISS waliyojaribu kuifanya nchini Kenya kujaribu kumteka Mtanzania Hamza Msabaha anayeishi nchini Kenya.

Tukio hili linazidi kuthibitisha ushahidi mzito uliowasilishwa ICC kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania vinaendesha vitendo vya utekaji, mauaji na kupoteza wakosoaji wa Ccm na Samia.

Tukio hili linazidi kuongeza uzito kwenye tuhuma dhidi ya Samia, Mombo, Wambura na Mkunda zilizopo ICC kuhusu kuendesha matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania hasa Watanganyika wasio na hatia.

Tukio hili linazidi kuonesha kuwa tuna Idara ya Ujasusi ya kipumbavu zaidi sio Duniani tu bali hata Africa maana badala ya kujikita na masuala ya kiuchumi na kimaendeleo ya Tanzania wao wanajikita kupoteza wakosoaji wa mafisadi ccm.
Tupe taarifa kamili nini kimetokea huko Kenya?
 
Kumbe alikuwa huko.

Abdul haramia na kiongozi mkuu wa genge la wasiojulika kwa kuwawezesha, kuratibu na kutoa logistics kwa maharamia, lakini kongole kwa vyombo vya nchini Kenya kuweza kuwatia mbaroni maharamia.

Tofauti na Tanzania ambapo vyombo vya dola vimeshindwa kumkamata hata muhuni mmoja wa hao wanaojulikana kama wasiojulikana
 
Kiongozi wa TISS alionekana Kenya mwezi huu wa pili. connect dots.

631034727_18562460827054954_1465410255471638881_n.jpg
 
LAW SOCIETY OF KENYA AND AMNESTY INTERNATIONAL KENYA STATEMENT ON THE RESCUE OF MSHABAHA MSHABAHA HAMZA AND ARREST OF HIS KIDNAPPERS

Screenshot-2026-02-23-135617.png
Nairobi, 23 February 2026: The Law Society of Kenya and Amnesty International Kenya commend the swift, coordinated action taken yesterday, Sunday 22 February, by officers from the Lukenya and Kyumbi Police Posts, DCI Kyumbi, and other national and county security and government agencies.

The action led to the rescue of Tanzanian human rights defender Mshabaha Mshabaha Hamza and the arrest of three suspects involved in what appears to have been a violent, premeditated abduction and forceful rendition to Tanzania.

According to documents before the court, officers responded promptly after Mr. Mshabaha resisted his attackers and was dumped at the Lukenya stage, drugged and injured. Police officers intercepted their vehicle and arrested three occupants: Edward Mwangi Mwai, a Kenyan residing in South Africa; Nelson Wanjohi Kirika, the driver; and Aziz Hamad, a Tanzanian national.

Mshabaha Mshabaha Hamza is a well-known Tanzanian human rights defender. He has been active in regional advocacy on democracy, accountability, and justice, particularly following the 2025 post-election violence in Tanzania. He is a member of the Pan‑African Solidarity Network, a collective committed to resisting authoritarianism across Africa.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya welcome the decisive intervention by the Kenyan authorities to protect his life and prevent his forced rendition to Tanzania. The action reflects Kenya’s constitutional and international obligations to safeguard all individuals, especially human rights defenders, who face heightened risks.
We now call for:

  1. A full, transparent, and impartial investigation into the identities, motives, and networks that were waiting for his delivery to the Kenya-Tanzania border
  2. Accountability not only for the suspects arrested and the immediate arrest of any individuals, whether in Kenya, Tanzania, South Africa, or elsewhere, who may have planned, financed, or directed the attack
  3. Closer collaboration between human rights organisations and Kenyan authorities to protect human rights defenders, especially those in exile or in cross-border contexts.
Attempts to abduct, harm, or silence activists violate fundamental freedoms across the East African region. Kenya must ensure that its territory is never used for transnational repression, rendition, or attacks on those exercising their right to defend human rights.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya will continue monitoring the case and supporting efforts to secure justice for Mshabaha and safety for all human rights defenders working in Kenya and the region.

Irungu Houghton
Amnesty International Section Director

Faith Odhiambo
President, Law Society of Kenya

Wameingia kwenye 18.
 
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa wakihusishwa na tukio hilo. Inadaiwa kuwa kulikuwa na mpango wa kumrudisha Tanzania kwa lazima.

Mashirika hayo yamepongeza hatua za polisi wa Kenya kwa kumlinda na kuzuia tukio hilo. Pia yameomba uchunguzi wa wazi ufanyike na wote waliohusika wachukuliwe hatua.

===

The Law Society of Kenya and Amnesty International Kenya commend the swift, coordinated action taken yesterday, Sunday 22 February, by officers from the Lukenya and Kyumbi Police Posts, DCI Kyumbi, and other national and county security and government agencies. The action led to the rescue of Tanzanian human rights defender Mshabaha Mshabaha Hamza and the arrest of three suspects involved in what appears to have been a violent, premeditated abduction and forceful rendition to Tanzania.

According to documents before the court, officers responded promptly after Mr. Mshabaha resisted his attackers and was dumped at the Lukenya stage, drugged and injured. Police officers intercepted their vehicle and arrested three occupants: Edward Mwangi Mwai, a Kenyan residing in South Africa; Nelson Wanjohi Kirika, the driver; and Aziz Hamad, a Tanzanian national.

Mshabaha Mshabaha Hamza is a well-known Tanzanian human rights defender. He has been active in regional advocacy on democracy, accountability, and justice, particularly following the 2025 post-election violence in Tanzania. He is a member of the Pan‑African Solidarity Network, a collective committed to resisting authoritarianism across Africa.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya welcome the decisive intervention by the Kenyan authorities to protect his life and prevent his forced rendition to Tanzania. The action reflects Kenya’s constitutional and international obligations to safeguard all individuals, especially human rights defenders, who face heightened risks.

We now call for:

  • A full, transparent, and impartial investigation into the identities, motives, and networks that were waiting for his delivery to the Kenya-Tanzania border
  • Accountability not only for the suspects arrested and the immediate arrest of any individuals, whether in Kenya, Tanzania, South Africa, or elsewhere, who may have planned, financed, or directed the attack.
  • Closer collaboration between human rights organisations and Kenyan authorities to protect human rights defenders, especially those in exile or in cross-border contexts.
Attempts to abduct, harm, or silence activists violate fundamental freedoms across the East African region. Kenya must ensure that its territory is never used for transnational repression, rendition, or attacks on those exercising their right to defend human rights.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya will continue monitoring the case and supporting efforts to secure justice for Mshabaha and safety for all human rights defenders working in Kenya and the region.

Huyu Aziz Hamad aliyetajwa kuwa mtanzania ni mtz kweli? Hakuna uwezekano wa kupata picha yake ikawekwa hapa? Mwenye anawezapata picha hata kutoka magazeti ya Kenya atuwekee hapa ili tuyajue haya majambazi.
 
LAW SOCIETY OF KENYA AND AMNESTY INTERNATIONAL KENYA STATEMENT ON THE RESCUE OF MSHABAHA MSHABAHA HAMZA AND ARREST OF HIS KIDNAPPERS

Nairobi, 23 February 2026:

The Law Society of Kenya and Amnesty International Kenya commend the swift, coordinated action taken yesterday, Sunday 22 February, by officers from the Lukenya and Kyumbi Police Posts, DCI Kyumbi, and other national and county security and government agencies. The action led to the rescue of Tanzanian human rights defender Mshabaha Mshabaha Hamza and the arrest of three suspects involved in what appears to have been a violent, premeditated abduction and forceful rendition to Tanzania.

According to documents before the court, officers responded promptly after Mr. Mshabaha resisted his attackers and was dumped at the Lukenya stage, drugged and injured. Police officers intercepted their vehicle and arrested three occupants: Edward Mwangi Mwai, a Kenyan residing in South Africa; Nelson Wanjohi Kirika, the driver; and Aziz Hamad, a Tanzanian national.

Mshabaha Mshabaha Hamza is a well-known Tanzanian human rights defender. He has been active in regional advocacy on democracy, accountability, and justice, particularly following the 2025 post-election violence in Tanzania. He is a member of the Pan‑African Solidarity Network, a collective committed to resisting authoritarianism across Africa.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya welcome the decisive intervention by the Kenyan authorities to protect his life and prevent his forced rendition to Tanzania. The action reflects Kenya’s constitutional and international obligations to safeguard all individuals, especially human rights defenders, who face heightened risks.

We now call for:

1. A full, transparent, and impartial investigation into the identities, motives, and networks that were waiting for his delivery to the Kenya-Tanzania border

2. Accountability not only for the suspects arrested and the immediate arrest of any individuals, whether in Kenya, Tanzania, South Africa, or elsewhere, who may have planned, financed, or directed the attack

3. Closer collaboration between human rights organisations and Kenyan authorities to protect human rights defenders, especially those in exile or in cross-border contexts.

Attempts to abduct, harm, or silence activists violate fundamental freedoms across the East African region. Kenya must ensure that its territory is never used for transnational repression, rendition, or attacks on those exercising their right to defend human rights. Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya will continue monitoring the case and supporting efforts to secure justice for Mshabaha and safety for all human rights defenders working in Kenya and the region.
Safi sana Kenya.
 
Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa wakihusishwa na tukio hilo. Inadaiwa kuwa kulikuwa na mpango wa kumrudisha Tanzania kwa lazima.

Mashirika hayo yamepongeza hatua za polisi wa Kenya kwa kumlinda na kuzuia tukio hilo. Pia yameomba uchunguzi wa wazi ufanyike na wote waliohusika wachukuliwe hatua.

===

The Law Society of Kenya and Amnesty International Kenya commend the swift, coordinated action taken yesterday, Sunday 22 February, by officers from the Lukenya and Kyumbi Police Posts, DCI Kyumbi, and other national and county security and government agencies. The action led to the rescue of Tanzanian human rights defender Mshabaha Mshabaha Hamza and the arrest of three suspects involved in what appears to have been a violent, premeditated abduction and forceful rendition to Tanzania.

According to documents before the court, officers responded promptly after Mr. Mshabaha resisted his attackers and was dumped at the Lukenya stage, drugged and injured. Police officers intercepted their vehicle and arrested three occupants: Edward Mwangi Mwai, a Kenyan residing in South Africa; Nelson Wanjohi Kirika, the driver; and Aziz Hamad, a Tanzanian national.

Mshabaha Mshabaha Hamza is a well-known Tanzanian human rights defender. He has been active in regional advocacy on democracy, accountability, and justice, particularly following the 2025 post-election violence in Tanzania. He is a member of the Pan‑African Solidarity Network, a collective committed to resisting authoritarianism across Africa.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya welcome the decisive intervention by the Kenyan authorities to protect his life and prevent his forced rendition to Tanzania. The action reflects Kenya’s constitutional and international obligations to safeguard all individuals, especially human rights defenders, who face heightened risks.

We now call for:

  • A full, transparent, and impartial investigation into the identities, motives, and networks that were waiting for his delivery to the Kenya-Tanzania border
  • Accountability not only for the suspects arrested and the immediate arrest of any individuals, whether in Kenya, Tanzania, South Africa, or elsewhere, who may have planned, financed, or directed the attack.
  • Closer collaboration between human rights organisations and Kenyan authorities to protect human rights defenders, especially those in exile or in cross-border contexts.
Attempts to abduct, harm, or silence activists violate fundamental freedoms across the East African region. Kenya must ensure that its territory is never used for transnational repression, rendition, or attacks on those exercising their right to defend human rights.

Amnesty International Kenya and the Law Society of Kenya will continue monitoring the case and supporting efforts to secure justice for Mshabaha and safety for all human rights defenders working in Kenya and the region.

Nimesikitika sana,
Kwa nn wasingechezea kwanza hao watekaji! Watu wa Kenya mmeniangusha sana!
 
Idara ya Ujasusi ya Tanzania (TISS) iliyoko chini ya Samia imezidi kuaibika kimataifa na kujianika wazi kwa namna inavyoratibu na kuendesha matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania wanaoukosoa utawala wa CCM.

Shirika la Haki za Binadamu la Kimataifa Amnesty International limeripoti leo operesheni iliyofeli ya wapumbavu TISS waliyojaribu kuifanya nchini Kenya kujaribu kumteka Mtanzania Hamza Msabaha anayeishi nchini Kenya.

Tukio hili linazidi kuthibitisha ushahidi mzito uliowasilishwa ICC kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania vinaendesha vitendo vya utekaji, mauaji na kupoteza wakosoaji wa Ccm na Samia.

Tukio hili linazidi kuongeza uzito kwenye tuhuma dhidi ya Samia, Mombo, Wambura na Mkunda zilizopo ICC kuhusu kuendesha matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania hasa Watanganyika wasio na hatia.

Tukio hili linazidi kuonesha kuwa tuna Idara ya Ujasusi ya kipumbavu zaidi sio Duniani tu bali hata Africa maana badala ya kujikita na masuala ya kiuchumi na kimaendeleo ya Tanzania wao wanajikita kupoteza wakosoaji wa mafisadi ccm.
Hivi Mwenyekiti na katibu ws Baraza la ulinzi Bongo ni Nani ?? Akili zao zipoje
 
Sasa wanataka maridhiano gani ikiwa bado wanaona utekaji ndio suluhu?

Wastage of time and resources. Tuendelee hiv hivi tu na kutekanq
Sielewi una maana gani na huo mstari wa pili. Naamini hukunuia uwe kama ulivyowasilishwa hapa.
 
Duh kuna sentensi inaishia .....utekaji ndio suluhu? Imenifikirisha.
Kuna kitu kimemvuruga akili; hayo maneno hayawezi kamwe kuwa yanatoka kwa huyo mwandishi wake. Kuna jambo haliko sawa, bila shaka akipata nafasi atarudi kurekebisha alichoandika hapa.
Sasa wanataka maridhiano gani ikiwa bado wanaona utekaji ndio suluhu?

Wastage of time and resources. Tuendelee hiv hivi tu na kutekanq
Siamini ulinuia maana ya huo mstari wa pili.
 
Mabwege wanazidi kuharibu Hali ya kidemocrasia Kwa Nchi jiranj
 
Back
Top Bottom