cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,738
- 189,096
Tatizo ni kwamba watu wana date na watu wasio na hisia nao.Haina haja ya kuzitumia, wajiweke vizuri kiakili, na wale vizuri
Ila ukweli huu hawataki kuukubali. Lol
Tatizo ni kwamba watu wana date na watu wasio na hisia nao.Haina haja ya kuzitumia, wajiweke vizuri kiakili, na wale vizuri
Wapambane na hali zaoTatizo ni kwamba watu wana date na watu wasio na hisia nao.
Ila ukweli huu hawataki kuukubali. Lol
Kwa kweli.Wapambane na hali zao
Vega 100 ni jina la kibiashara la dawa inayochochea nguvu za kiume, ambayo ndani yake ina kemikali hai inayojulikana kama Sildenafil Citrate (kiambata kile kile kinachopatikana kwenye dawa maarufu ya Viagra).
⚠️ Angizo Muhimu la Kiafya:
Dawa yoyote yenye kiambata cha Sildenafil haipaswi kamwe kununuliwa kama "pipi" madukani. Ni lazima itumike tu baada ya kuonana na daktari, kufanya vipimo vya moyo na presha, na kupata cheti rasmi cha daktari (prescription).
Nyie waongo sana kuna muda vyote vinafanyika lakini bado performance inakuwa poor .Hizi ndo njia pekee .. msosi wa nguvu. Km kadhaa asubuhi, maji mengi.
Apo nikipiga na blunt moja basi show inakua heavy .
Naona unatusema kwa mbaliTatizo ni kwamba watu wana date na watu wasio na hisia nao.
Ila ukweli huu hawataki kuukubali. Lol
Jiamini mkuu wakati unafanya vyote hivyo na positive thoughts…Nyie waongo sana kuna muda vyote vinafanyika lakini bado performance inakuwa poor .
Kwasasa sisikilizi ushauri wa mtu naishi mimi na akili yangu tu ,mmenidanganya sana
Dah walala hoi tumefikia sasa😂😂😂😂Wanadanganya kwenye vyakula, nguvu kama unazo ni unazo tu kama hauna hata utumie nini kazi bure.
Booster ni kwa ajili yetu walala hoi
Bhn bhn hii uwe na confidence uwe na angle Kuna sehemu unashangaa tu sekunde wauzungu washajiamulia mambo yao hao😅😅😅Jiamini mkuu wakati unafanya vyote hivyo na positive thoughts…
Then kamata mama kwa kujiamini. Kuna angle ya kisaikolojia inatakiwa iwe timamu.
Ukiwa huna confidence matokeo ni tofauti.
Dah nimecheka kama mwehu vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku Moja naoga natoka kumbe nimeacha viksi yangu bafuni.Kwanini mama mjengo asikapige picha akawa anawatumia watu,majibu aliyoyapata akakatupa kwenye ukuta wa jirani.Mbona nilivyorudi nilitafuta ngazi .Mali yangu haiwezi kupotea bure bure.
😂😂😂😂😂😂 Vijana Wana vitu vyao vya kupaka kwenye bichwa la chinikwani viksi sio ya mafua na maumivu kidogo ya kichwa kama wanavyodai wauzaji?
Bro shukuru Mungu mpaka Leo upo haiVega za siku hizi bure kabisaa.
Mara ya kwanza naitumia miaka 12 nyumaa, kwanza picha linaanza nikazima kwenye kochi,kuamka damu zinatoka puani,uume ulisimama siku tatu bila kusahau kichwa Cha utosi kinauma balaa.
Mwisho kabisa ilibidi nijifanye nimekitupa. Mrembo ananiuliza mbona sioni manii Yako. Nikamjibu sijui yamepotea.
[emoji23][emoji23][emoji23] wee si umekimbiaa wee, au. LolNaona unatusema kwa mbali
weee hebu nisimulie vizuri😂 naweza kuokota abc zikanisaidia kwa badae😂😂😂😂😂😂 Vijana Wana vitu vyao vya kupaka kwenye bichwa la chini
kwahiyo mnapakaga kweli? eh ukipaka unahisi nini yani🤔Uyu Anatusingizia vijana..hii wanapaka sana wazee maana energy ishashuka😂
Hukuona juzi alivyoniwakia katika uzi huu hapa chini[emoji23][emoji23][emoji23] wee si umekimbiaa wee, au. Lol
Ila ukubaliane sitaki kupelekeshwa..Hao ndiyo wanawake wa shoka!