Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

Unashindwa kupunguza pombe, sigara, vyakula vibaya na ufanye mazoezi kidogo unakimbilia njia rahisi.

Wanaume hatukimbilii njia rahisi tunakimbilia njia sahihi.
Ukweli n kwamba, hta akiacha hayo bado sio kigezo cha nguvu za kiume kuongezeka.

Hua tunajidanganya na kula vyakula fulani, mazoezi etc. Hayo yanaongeza nguvu kwa % chache mno lkn hakujawah kutokea mtu akaongeza nguvu za kiume kupitia mazoea au vyakula.

Ndo mana wengi wanakimbilia kwenye buster.
 
Hakuna baby girl anayependa show ya dkk 10 kitu ambacho ndio uhalisia wa nguvu za kiume zinavyotakiwa zicheze hapo, hamtaki kijidudu Bali mnataka mashine iwe nzito.

Ndo mana boys wanakula hayo madawa ili kuwaridhisha.
Na ule usumbufu wao sasa unajiapiza akija unaikomoa ,ijapokuwa mimi mwana niliyekuwa nakaa nae room ndio alinipa hicho kidonge.Yule jamaa alikuwa muhuni sana.
 
Dah Hilo tatizo lingine tena 😂

Sema boys wengi c tunaona mke n permanent hvy hua tunajisahau kuwahudumia vzr, kumbe nao wanataka mikikimikiki.

Ila raha ya hizo buster ufanye Kwa Mtu unayemuamini, mambo ya kutumia hizo dawa afu unaenda kufanya na kinga, huo n upuuzi mwngn tena.
Haina haja ya kuzitumia, wajiweke vizuri kiakili, na wale vizuri
 
Ukweli n kwamba, hta akiacha hayo bado sio kigezo cha nguvu za kiume kuongezeka.

Hua tunajidanganya na kula vyakula fulani, mazoezi etc. Hayo yanaongeza nguvu kwa % chache mno lkn hakujawah kutokea mtu akaongeza nguvu za kiume kupitia mazoea au vyakula.

Ndo mana wengi wanakimbilia kwenye buster.
Wanadanganya kwenye vyakula, nguvu kama unazo ni unazo tu kama hauna hata utumie nini kazi bure.
Booster ni kwa ajili yetu walala hoi
 
Wanadanganya kwenye vyakula, nguvu kama unazo ni unazo tu kama hauna hata utumie nini kazi bure.
Booster ni kwa ajili yetu walala hoi
Yah mkuu, mm hua nacheka sana wanaosema chakula fulani au mazoea fulani yanaongeza nguvu.

N kwel yanaongeza ila sio kiasi mpaka una-notice Kuwa nguvu zimeongezeka.

Yani kama huna ni huna tuu, na kama una nguvu itabaki kuwa nazo tuu huku ukizingatia afya yako.
 
Hii n biggest uongo.

Kimoja chali Afu tena kiwe cha dkk 5 kuanzia maandalizi mpaka jamaa kumwaga, hiyo haiwezekani, usitudanganye Win
jamni sasa wew ni mimi?,, kabla sijakutana na mtu unakuta nishajiandaa kisaikolojia kwahiyo akiloeka tu hivi na,mimi ndo mwisho wangu nakojoa sijui ndo mnaita kupizi🤭😅 huko kwingine ni yeye na sifa zake
 
Na ule usumbufu wao sasa unajiapiza akija unaikomoa ,ijapokuwa mimi mwana niliyekuwa nakaa nae room ndio alinipa hicho kidonge.Yule jamaa alikuwa muhuni sana.
Afu huu usumbufu ndo unafanyaga boys kutumia hizo dawa kwa kigezo cha kulipiza kisasa 😂
 
Wanadanganya kwenye vyakula, nguvu kama unazo ni unazo tu kama hauna hata utumie nini kazi bure.
Booster ni kwa ajili yetu walala hoi
Siku Moja naoga natoka kumbe nimeacha viksi yangu bafuni.Kwanini mama mjengo asikapige picha akawa anawatumia watu,majibu aliyoyapata akakatupa kwenye ukuta wa jirani.Mbona nilivyorudi nilitafuta ngazi .Mali yangu haiwezi kupotea bure bure.
 
kwani viksi sio ya mafua na maumivu kidogo ya kichwa kama wanavyodai wauzaji?
 
Back
Top Bottom