Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

Wanangu wa VEGA 100 kueni makini

Unashindwa kupunguza pombe, sigara, vyakula vibaya na ufanye mazoezi kidogo unakimbilia njia rahisi.

Wanaume hatukimbilii njia rahisi tunakimbilia njia sahihi.
Sometimes ni impact ya umri ila unakuta muhusika hataki kukubali kuishi kutokana na umri wake. Mwisho wa siku ili ajijengee heshima kwa watoto wa 2000, anabugia viagra.

Mbaya zaidi hizo dawa zikikutana na mzunguko wa damu dhaifu au kuna visukari na presha. Uwezekano wa kumuathiri mtumiaji huwa ni kwa kiasi kikubwa sana
 
Ukweli n kwamba, hta akiacha hayo bado sio kigezo cha nguvu za kiume kuongezeka.

Hua tunajidanganya na kula vyakula fulani, mazoezi etc. Hayo yanaongeza nguvu kwa % chache mno lkn hakujawah kutokea mtu akaongeza nguvu za kiume kupitia mazoea au vyakula.

Ndo mana wengi wanakimbilia kwenye buster.
Hii ni miili ya damu na nyama tu, ina kikomo.

Lakini una wajibu wa kuitunza afya yako ili uufikie uwezo wako wa kawaida.
 
Hakuna cha umri wala nn, muda wa mwanaume rijali kumwaga haiwez kuzidi dkk 10 tena hizo n nyingi, tukisema huyo boy n toa niweke bc hata dkk 5 anamwaga.
Ndo maana nikasema kama mwenzi wako anakereka, inaweza ikawa tatizo.

Kukaa masaa kitandani hakumaanishi wewe ni hodari wa mapenzi. Hii ni moja ya imani potofu zinazoshikiliwa na wanaume kuhusu ngono.
 
Vega za siku hizi bure kabisaa.

Mara ya kwanza naitumia miaka 12 nyumaa, kwanza picha linaanza nikazima kwenye kochi,kuamka damu zinatoka puani,uume ulisimama siku tatu bila kusahau kichwa Cha utosi kinauma balaa.

Mwisho kabisa ilibidi nijifanye nimekitupa. Mrembo ananiuliza mbona sioni manii Yako. Nikamjibu sijui yamepotea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
alf ni kijana mdogo sidhani hata kama kafikisha 35yrs imebidi nimwambie tu asisahau kunywa maji mengi maana hizo dawa ni kama zina changia mapigo ya moyo kwenda kasi ili pumzi isije ikakata[emoji28][emoji28],,, Walah nimesikitika[emoji26][emoji29]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si alikuwa anajifanya mtaalamu ananiuliza eti mbona dudu haijalala na manii hakuna ,halafu unaniambia ushamaliza? Nikamjibu sinaga manii mimi ,yamepotea huku kichwa na dudu linauma balaa.Mbona nilikoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii.
 
Back
Top Bottom