Hao ndiyo wanawake wa shoka!Mimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!
Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! 😹😹😹
Hao ndiyo wanawake wa shoka!Mimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!
Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! 😹😹😹
Nani alipe nani kivipi kwani nimejioa? Hayo yote atayafanya yeye ayapange yapangike, mimi kazi yangu ni kupeleka list ya kila kinachohitajika kununuliwa, yes tutaishi kulingana na kipato CHAKEJipangieni tuu umeme, maji, kulipia TV, Gas, chakula. Nani analipia nini. Na kuna maendeleo ya jumla Ada, ukarabati, ujenzi pia nani anafanya nini. Hapo nazungumzia ndoa siyo Gf/Bf.
Lakini hayo inategemea kipato chenu woote wawili.
Wanaendekeza luxury life au kazikazi?
Wana magari mabovu kila siku garage?
Nimezungumzia mshahara mdogo kuliko mahitaji
#KKBNitag huo uzi
Tunaongea kutokana na yanayotokea sana kwe jamii.
Binafsi mtu wangu kanyooka hana vipengele so ikitokea changamoto za kiuchumi au kiafya lazima niwe nae bega kwa bega.
Ndoa zilizonyooka bado zipo🥂
Yeah hii sio mbaya , ila majambazi hata kipindi kigumu yanapotea yenyewe yanatafuta sehemu ambapo tayari kimeiva tu na sio kushiriki kukipika .Mahusiano yetu kizamani,, lakini kenge wangu pamoja na yote mapito ye anasimama katika ubaba.
Ubaba kwa maana ya kuhudumia!!!! Mi miaka yote sijawahi kuambiwa changia hili au sijui hii jukumu lako.
Nikiona kakwama sana natoa au naachia asote hata kama Hela ninayo.
Tena umenikumbusha! Subiri niandike list ya mahitaji yangu nibandike ukutani akija akutane nayoNani alipe nani kivipi kwani nimejioa? Hayo yote atayafanya yeye ayapange yapangike, mimi kazi yangu ni kupeleka list ya kila kinachohitajika kununuliwa, yes tutaishi kulingana na kipato CHAKE
Thank you Leo Dada mitano tenaaaaaaa na hapo shemeji yetu hajawahi kulalamika hata siku moja anajua majukumu yake na yupo proud kuyatimiza, miaka buku kwenu🥳🥳🥳Mahusiano yetu kizamani,, lakini kenge wangu pamoja na yote mapito ye anasimama katika ubaba.
Ubaba kwa maana ya kuhudumia!!!! Mi miaka yote sijawahi kuambiwa changia hili au sijui hii jukumu lako.
Nikiona kakwama sana natoa au naachia asote hata kama Hela ninayo.
Hapo unatamani hii chance ya kitonga uipate wewe!#KKB
Nimekaza mimi, namhudumia Mrs. Mshamba.Hapo unatamani hii chance ya kitonga uipate wewe!
Hahahaha kumbe tupo wengi wazee wa vinote buku na peni, halafu mtu anakwambia eti tugawane uwiiii🙌🏻Tena umenikumbusha! Subiri niandike list ya mahitaji yangu nibandike ukutani akija akutane nayo
Humu tuuNimuachie naniiiiiiiiiiii
Nalisupport! Kama hela ninayo siwezi kusubiri hata aniambie.Wanafanya kazi, mshahara ukiwa mdogo kuliko mahitaji, ndipo hoja inakuja ya wewe (mwanamke) kuwezeshwa pia ili mpate kipato cha kukidhi mahitaji yenu.
Au kama wote mna mishahara, mchangie wote mahitaji! 😜
Hili la kuchangia kipato kukidhi mahitaji ya nyumba, wewe unalionaje upande wako?
Kuna kijana anauliza kama sio single mother pia?Mimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!
Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! 😹😹😹
We deserve the same too😒Mfano mzuri ni wali mweupe, pilau na biriyani.
Vinote napenda! Tena huwa nabandika ukutani mbele ya meza yake akirudi anachezea PC huku anaona kuna pesa inahitajikaHahahaha kumbe tupo wengi wazee wa vinote buku na peni, halafu mtu anakwambia eti tugawane uwiiii🙌🏻
Kweli hamtutaki??Ila kwa unafki😅
MImi nikiwakuta mende wana do hua siwaui, nani anatamani kukatishwa utamu jamani
Kuchangia tunachangia kidogo tu ila sio kuadmit hapa😏Wanafanya kazi, mshahara ukiwa mdogo kuliko mahitaji, ndipo hoja inakuja ya wewe (mwanamke) kuwezeshwa pia ili mpate kipato cha kukidhi mahitaji yenu.
Au kama wote mna mishahara, mchangie wote mahitaji! 😜
Hili la kuchangia kipato kukidhi mahitaji ya nyumba, wewe unalionaje upande wako?
Daaah!🙌😂Kuna kijana anauliza kama sio single mother pia?