Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,620
Sema kweli G 😹Tatizo pesa sina! Mimi kapuku tu.
Pesa unazo bana papaa..!!
Sema kweli G 😹Tatizo pesa sina! Mimi kapuku tu.
Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano.Sema kweli G 😹
Pesa unazo bana papaa..!!
😹😹😹 Wewe mi nataka unitumie vocha hapa acha zako..!!Kwanza Leo hata sijala mchana ujue. Tajiri hajatulipa mshahara wetu wa mwezi wa tano.