WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

He he he, nikisikia jina la zombie tu, kichwani yanapita mambo kama haya

af babu niombee msamaha kwa konnie haki walahi nilipokuwa naandika kwenye wale three famous Kaunga,king'asti nilijua nimemalizia na yeye!
sijui namubebeb mbeleko gani!
af ujue siku hiz amekuwa too sentimental zombie amefanikiwa kulainisha hii toto la kisukuma!kidogo watu wanapumua humu! Kongosho sweetie may i take this fursa KUKUKISS!
please!
:busu

Asikupe shida kabisa...siku hizi Kongosho amekuwa stingless bee...

Tutaongea naye kumpoza tu ila hata kumwacha hakuna madhara yoyote.

Sasa mbona hujaniunga mkono? Maxence Melo tunampatia zawadi gani ya kufungia mwaka 2013??

Hebu msaidie babu basi na wewe...

Babu DC!!

Sikuwa najua kuwa yu mwoga kiasi hicho. Au ina maana umri wa mtu huongezeka pamoja na aibu zake? Naona hata Kongosho bado anamwonea Zombie aibu....
 
Mie nakulia timing tu nikulipue, unadhani nimepotezea?
Ila nimebanwa siku hizi, sijui itakuaje?

Mdanganye sina madhara, nitamuuma vere suni

Ila babu nitakuja kwako kwa ushauri wa mwisho hivi karibuni:lying:

Mwaka huu umeshikwa na ukashikika kweli kweli...lol!!!

ila ukweli ni kwamba thamani ya kitu inatembea mwendo wa mwanga ukikikosa.

Nimekumiss sana @ Kongosho pamoja na uchokozi wako!!

karibu sana tule sikukuu na bibi

Babu DC!
 
Nawatakia heri ya mwaka mpya marafiki zangu, dada zangu wapendwa farkhina, mimi49 charminglady, Ngongoseke, Heaven on Earth Jawilat, haki ya nani mimi sio mwenyeji sana humu Jf, but for a short time I liked your comments n ideas!

Mungu awalinde na kuwapa maisha ya furaha na less stress!! GBU all

Cc: Lady doctor

Karibu sana mkuu Jerrymsigwa.

JF ni kila kitu ila uwe mwangalifu kwani hukawii kuwa teja na kuharibu kazi za mkoloni!

Nimefurahi sana kukuona ukumbini na Mungu akipenda tutakuwa wote 2014!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Jf imenifundisha Mapishi. sasa naweza Pika Yai la kuchemsha bila msaada wowote.

Hahahahahahahahahahahahah,

Yaani Jf yote na hizo fora kibao umejipatiapo tumapishi tu mkuu?

Kila la heri katika kufunga mwaka na kuuanza mwaka mpya ndugu yangu Me370.

It it was a pleasure seeing you.

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
He he he, wengine uchokozi ni sehemu ya starehe:frusty::A S-confused1:

Nimekamatwa nikakamatika, nilifunzwa kwetu kuwa 'ukishikwa na wewe shikamana' na 'ukibebwa mgongoni kunja miguu'
Zombie kakamatilia kama kupe, sipumui.
Nawaza sijui nichukue jumula?:shocked::faint2:, nashawishika kuondoka kwenye chama la kina NN na kiranga.

Mwaka huu umeshikwa na ukashikika kweli kweli...lol!!!

ila ukweli ni kwamba thamani ya kitu inatembea mwendo wa mwanga ukikikosa.

Nimekumiss sana @ Kongosho pamoja na uchokozi wako!!

karibu sana tule sikukuu na bibi

Babu DC!
 
He he he, wengine uchokozi ni sehemu ya starehe:frusty::A S-confused1:

Nimekamatwa nikakamatika, nilifunzwa kwetu kuwa 'ukishikwa na wewe shikamana' na 'ukibebwa mgongoni kunja miguu'
Zombie kakamatilia kama kupe, sipumui.
Nawaza sijui nichukue jumula?:shocked::faint2:, nashawishika kuondoka kwenye chama la kina NN na kiranga.

Unavoongea kwa mbwembwe hadi misifa ina-overflow.

Jichukulie zombie Bwana kwani haya mambo ya kutamani msosi usioweza kuupata na kwa wakati unaotaka yanapunguza life span sana.

Utakuja mwanza lakini au umefungiwa Roben Island?

Babu DC!!
 
Asante sana BAK na wote aliowamention hasa Fixed Point maana ndio umenifanya nimfahamu huyu kaka/baba zaidi. Mr Rocky can't 4get u as well na Lala1 ktk safari yake na maamuzi magumu juu yanjia ya kujitoa kimaisha.

Love u all a lot

Thank you House Wife
May you have a wonderful season
Merry Xmass and prosperous new year 2014
 
Last edited by a moderator:
He he he he, umenifanya nikapaliwa aisee kwa kicheko.

Mwanza nitakuja, ila kwa sasa wala nile nile mafao kwanza kabla SSRA hawajashtuka na kuyafungia.

Unavoongea kwa mbwembwe hadi misifa ina-overflow.

Jichukulie zombie Bwana kwani haya mambo ya kutamani msosi usioweza kuupata na kwa wakati unaotaka yanapunguza life span sana.

Utakuja mwanza lakini au umefungiwa Roben Island?

Babu DC!!
 
He he he he, umenifanya nikapaliwa aisee kwa kicheko.

Mwanza nitakuja, ila kwa sasa wala nile nile mafao kwanza kabla SSRA hawajashtuka na kuyafungia.
Preta, please take note....

Mdau anakuja kumtambulisha zombie wake kwa washirika. ......

I can't imagine Kongosho anatinga ukumbini na zombie wake wameshikana mikono...very sweet!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom