WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

WanaJF na MMU.....Karibuni tufunge mwaka 2013!

Naogopa sana kuchafua hali ya hewa mkuu.....

Ila wenzangu na mie wanajua kuwa raha ya mke ni kumpa mpinzani, tena mkali kama yeye....usitafute aliyemzidi kwani utamshusha confo...

Naomba nikasindikize wajukuu!!

Babu DC!!

ubaaaaaaaaaaaav huo hawana hawa!
sana sana atanitaftia mwanafunzi wa twisheni tu !
babu kaa kushoto!
 
Maulana Shariff CHAMVIGA,

Asalaam Alaykum Al Habiby.

Wallahi,ni furaha chungu tele nami kadhalika kila nikusikiapo Akhiy...ni faghari na pia najivuna mno yakuwa wewe ni mmojawapo ya ndugu zangu wa karbu mno.

Walakin,menitia machungu kiduchu maana mbona hukumtaja Dada'etu Bi Asha Mohamed!? Au ndo meogopa mtia wivu ndumbulo Al Mudeer THE BIG SHOW!? Teeh! Teeh! Teh!

Nakutakia kila la Kheir na tashrif chungu tele kwa yoote mema ufanzayo Insha Allah!

Ahsanta sana.

Amin nashukuru sana ndugu yangu.
 
ahahahaha chezeya na kati ya kuperamiho!
muda wa kumundikia notes ubaoni huyo atakayeletwa sina mie!
so wala hata hawawezi kufikiria!


Binadamu yeyote akishajiona kwamba hana mpinzani lazima atanyanyua mabega na kutembea kama vile ana coil spring kwenye miguu....

Bora ingewekana kupima ujasiri....haki ya nani mochuwari zingejaa kabla ya saa 6 mchana....

Babu DC!!
 
Hahahahaaaa!
Babu wewe umekula chumvi sana! Itabidi uvumilie tu manyago ya wajuu wako!
Ndio tumo ktk kujifunza huko!


Na ndiyo maana najiangulia kicheko ili niendelee kumung'unya pensheni na bibi pembeni.....

Karibu ujumuike na wajukuu wa siku kuu....

Babu DC!!
 
mwanafunzi mwema husikia sauti ya mwalimu wake!
haya babu unalo?
ahahahhahahhahaa Kaizer huyo tartiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu!
 
Last edited by a moderator:
Binadamu yeyote akishajiona kwamba hana mpinzani lazima atanyanyua mabega na kutembea kama vile ana coil spring kwenye miguu....

Bora ingewekana kupima ujasiri....haki ya nani mochuwari zingejaa kabla ya saa 6 mchana....

Babu DC!!

ubavu ukipimwa kati yangu na huyo pre form one au?
Babu NITAKE LAZI!
 
Last edited by a moderator:
Naogopa sana kuchafua hali ya hewa mkuu.....

Ila wenzangu na mie wanajua kuwa raha ya mke ni kumpa mpinzani, tena mkali kama yeye....usitafute aliyemzidi kwani utamshusha confo...

Naomba nikasindikize wajukuu!!

Babu DC!!

Ahsante Babu kwa kuunga mkono azimio langu. Hata yeye anaujua umuhimu wa kumletea mtu wa kumsaidia
 
eheheehheehe ujue nikiwa mbali nikirudi ndo inakuwa poa zaidi!
oh!
wacheni hasira waume zangu shauri zenu !
kama ng'ombe hii ni jembe hiii ukiikosa machinjioni buchani mwisho sa kumi na mbili!
oh!

Huu ni mwisho wa mwaka. Sasa wakati kama huu sio wakati wa wewe kuwa mbali kabisaaaaaaaa, kiukweli sitaki tukupoteze. Nitakachofanya ni kwa faida yako wewe
 
Ina manaa humjui shemeji yako??

Sometimes anakuwa mwoga kuzidi hata kipepeo...lol!!

Babu DC!!

Sikuwa najua kuwa yu mwoga kiasi hicho. Au ina maana umri wa mtu huongezeka pamoja na aibu zake? Naona hata Kongosho bado anamwonea Zombie aibu....
 
Last edited by a moderator:
Yapo ya kufanya lakini sio hayo
Wanaume tunajua ya kuwasaidia wanawake tuwapo ndoani,wasiokuwa na sifa ya kuwa wanaume hawajui ndio matokeo ya hayo makitu ya hovyo

That action has nothing to do with being a dad!

hahahaha! so dude there hana sifa yuko kujipomba lolest! asante

na ya kuwasaidia wanawake mkiwa ndoani ni kama yap labda?
 
af babu niombee msamaha kwa konnie haki walahi nilipokuwa naandika kwenye wale three famous Kaunga,king'asti nilijua nimemalizia na yeye!
sijui namubebeb mbeleko gani!
af ujue siku hiz amekuwa too sentimental zombie amefanikiwa kulainisha hii toto la kisukuma!kidogo watu wanapumua humu! Kongosho sweetie may i take this fursa KUKUKISS!
please!
:busu

Mie nakulia timing tu nikulipue, unadhani nimepotezea?
Ila nimebanwa siku hizi, sijui itakuaje?

Asikupe shida kabisa...siku hizi Kongosho amekuwa stingless bee...

Tutaongea naye kumpoza tu ila hata kumwacha hakuna madhara yoyote.

Babu DC!!

Mdanganye sina madhara, nitamuuma vere suni

Ila babu nitakuja kwako kwa ushauri wa mwisho hivi karibuni:lying:
 
Back
Top Bottom