afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,271
nashukuru dada yangu.
Karibu tena dear ..
nashukuru dada yangu.
Tatizo liko wapi?
Kwa mfano wewe ukiona mtu ana shida anatangazwa kwenye tiivii halafu akaweka namba yake ya simu, utamwambia kuwa yeye ndo anapaswa kukupigia ili umsaidie?
Hata hivyo siwajui watu wa humu ndani, hivyo ni vema nikaomba mtu binafsi anipm kwani nikianza mimi penginepo wengine hawatapenda. Umenisoma?
mfano uliotolewa kwenye tv na hapa jf tofauti. Kama una shida jaribu kujishusha, usipende kuonekana upo juu siku zote hata unapokuwa na shida. Samahani kama nimekukwaza.
kiritimba's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 18th August 2011
Posts : 411
Rep Power : 21
Default Nimeamua kuoa baa medi
Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.
Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.
Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.
SI UTANI NIMEAMUA KUOA BAAMEDI. Labda stress zitapungua!
kwa taarifa yako kitabia tulishakusoma kama hii post yako hapo juu inavyoshawishi tukuelewe wewe ni mtu wa namna gani.
pili mission yako yote in your mind already tracked...ulishajianika vya kutosha brother.
so find another strategy not this one.
jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?
yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
utakuta mtu anasema aisee mtoto bomba yule. Mwisho wa siku hata ukimpata mtaishia kwenye majambozi. Sasa sura yake au huo unaosema uzuri wake kwani unatoa mchango gani katika tukio zima la kikubwa.
nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike anipm ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu! Naomba pm.
wanawake wengi siku hizi wana tabia ya kuvaa mavazi ambayo yana display mgongo na matiti. Sasa mi nikiona migongo mikubwa ya wanawake inang'ara halafu ipo wazi basi mi nakuwa hoi.
Wanawake mtaniua jamani.
kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa mke.
Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.
Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia.
kikiingia laini tu nakiweka ndani.
Si utani nimeamua kuoa baamedi. labda stress zitapungua!
mfano uliotolewa kwenye tv na hapa jf tofauti. Kama una shida jaribu kujishusha, usipende kuonekana upo juu siku zote hata unapokuwa na shida. Samahani kama nimekukwaza.
husninyo!
You know what "a fool can ask a question that a genius can not answer"
hapa ndo pana tatizo, kwani huyu jamaa alifikiri plan zake za kudanganya watu hapa zingefanikiwa kirahiisi.
Ndo maana tulipoanza kumchalenji ameanza ku-shake.
Halafu anaonekana kahasira kimesha mpanda kwenye ubongo.....ngoja tumpe na hii...maaaambo
huyo ndo kiritimba bana ukisikia mwingine photocopy.............................
husninyo!
You know what "a fool can ask a question that a genius can not answer"
hapa ndo pana tatizo, kwani huyu jamaa alifikiri plan zake za kudanganya watu hapa zingefanikiwa kirahiisi.
Ndo maana tulipoanza kumchalenji ameanza ku-shake.
Halafu anaonekana kahasira kimesha mpanda kwenye ubongo.....ngoja tumpe na hii...maaaambo
Hapa ni za uso tu hakuna huruma........................
wewe wasema!
endelea kunitusi. Nimeshaungama dhambi zangu, sitaki kurud kuungama hivi karibuni. Nadhan umenipata.
ha ha ha haaaaaaa! Sasa kama uliweza kumfuata mtu unayemwamini ukaungama? Naamini huyo mtu ulimwamini sana ndo maana uliamua kumweleza uchafu wako wote ulokwisha ufanya hapo kale...sasa unaonaje ukaenda kumweleza mahitaji/nia na matakwa yako yote ili akusaidie kuyatatua.kuliko kuja kuomba msaada wa watu ambao hata hujui wako pande ipi ya dunia hii.
this is just the beginning of the beginning....need you say more...njooo huk basi.....
this is just the beginning of the beginning....need you say more...
unajua wewe unautoto unakusumbua...you have no ethics,values or even principals of living.hivi umesoma kichwa cha habari cha hii sredi?
unajua wewe unautoto unakusumbua...you have no ethics,values or even principals of living.
Ndo maana nilikuambia hiviiii....ulijisahau kuwa tulishasoma michango yako yote kabla hatuja kukabili manake kwa sasa tunakabiliana na mtu tunayemfahamu vizuri sana.through michango yako.
Ok! To windup my discussion wit you i gotta say this before you and who ever come across this topic......"you are seems to be a good womanizer..are you"?"
unajua wewe unautoto unakusumbua...you have no ethics,values or even principals of living.
Ndo maana nilikuambia hiviiii....ulijisahau kuwa tulishasoma michango yako yote kabla hatuja kukabili manake kwa sasa tunakabiliana na mtu tunayemfahamu vizuri sana.through michango yako.
Ok! To windup my discussion wit you i gotta say this before you and who ever come across this topic......"you are seems to be a good womanizer..are you"?"[/QUOTE]
Sina cha kuongeza umemaliza kila kitu
Matusi hayo mkuu.
hunijui, sikujui.
Unajua shida zangu?
Kama ni shida hiyo unayofikiria wewe (of which is not true) si ningeanza kwa kuwapm straight?
Mbona umenichukia sana kuliko hata hao wahusika wenyewe? Nimekukosea nini?
Anyway, kwa kuwa nyie wenzetu ni watyu msio na matatizo kwa hiyo endelea kuamini hivo unavoamini.
Vilevile endelea kunitusi ufaidike.