Wana MMU wakike msaada pliiziii!

Wana MMU wakike msaada pliiziii!

Matusi hayo mkuu.
hunijui, sikujui.
Unajua shida zangu?
Kama ni shida hiyo unayofikiria wewe (of which is not true) si ningeanza kwa kuwapm straight?
Mbona umenichukia sana kuliko hata hao wahusika wenyewe? Nimekukosea nini?
Anyway, kwa kuwa nyie wenzetu ni watyu msio na matatizo kwa hiyo endelea kuamini hivo unavoamini.
Vilevile endelea kunitusi ufaidike.

i don't hate you my brother! am challenging you through your ways of approaching things..especially when you are trying to win someone's mind and heart!
i tell you you what...i know you believe a coin has two sides...but i believe a coin has three sides.
my friend..here you will end up chasing shadows.
 
sijui anabisha kitu gani
 
kiritimba wewe nenda tu bar bwana huku hamna type yako ati hamna atakaekuelewa mfafute mzee wa counter figaniga atakwambia sehemu kuna migongo mizuri

poa, haiko mkinga
 
husninyo!
You know what "a fool can ask a question that a genius can not answer"
hapa ndo pana tatizo, kwani huyu jamaa alifikiri plan zake za kudanganya watu hapa zingefanikiwa kirahiisi.
Ndo maana tulipoanza kumchalenji ameanza ku-shake.
Halafu anaonekana kahasira kimesha mpanda kwenye ubongo.....ngoja tumpe na hii...maaaambo

tumemstukia huyu. Anadai angeniambia mtu kama mimi shida zake ningekuja kusema jukwaani! Sijui ni shida gani ila hajui watu wengine huwa tunasaidiana kwa pm zaidi kuliko hata hapa jukwaani.
 
tumemstukia huyu. Anadai angeniambia mtu kama mimi shida zake ningekuja kusema jukwaani! Sijui ni shida gani ila hajui watu wengine huwa tunasaidiana kwa pm zaidi kuliko hata hapa jukwaani.

niemkusoma muda mref hufai kuelezwa shida za mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom