Mpeleke kwa daktari
hayo mapumbapumba yanatoka wapi?? sikioni, puani, mdomoni , mguuni n.k pambanua lol[/QUO
hii ni balaa sijui pumba zinatoka wapi
Siri za mwenzi wako unakuja kuzianika huku mtandaoni
kwa nini usingekaa nae ukamuuliza ni kitu gani alicho nacho kabla ya kuja kuainika utupu wa mwenzi wako hapa
Na umejuaje kama wewe ndio una kakitu kadogo sio yeye
Ahhhh halafu duh nimebaki hoi na hilo jina
hayo mapumbapumba yanatoka wapi?? sikioni, puani, mdomoni , mguuni n.k pambanua lol
imebidi nicheke tu......mapumba yanatoka?....ana bacteria huyo tena ni mgonjwa kweli ...mshauri akamuone daktari
Sio kama namwanika ila nahitaji ushauri hili si ndo jukwaa la ushauri wa kimaumbile. maana ilibaki kidogo nimwache akalia sana
wewe ndo umemwambukiza inatokana na wewe kuwa na nanii ndogo so hewa inaingia na vumbiina mana atakuwa ameniambukiza na mimi
Hakuna cha mbeche wala bweche kubwa..ww ndo utakuwa na kasigara..so kanamezwa
Hukutesti zari kabla?
Duuu kweli mimi mgeni wa vitu vingi sana! HII KWANGU NGENI!wewe ndo umemwambukiza inatokana na wewe kuwa na nanii ndogo so hewa inaingia na vumbi
<br />Kwani kaniaje kako kana ukubwa gani? Sio unasema tu ya mwenzako.