Wana MMU wakike msaada pliiziii!

Wana MMU wakike msaada pliiziii!

Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.

heheh jamaa alifanywa hakuna na kiherehere chake, alafu na yule aliyetafuna hizo pesa nae dah.......!! Hahahahaaa hilo tukio lilinichekesha sana, jf watu wako vere siriaz kazini lol!! Yani unahesabu laki ya 1, ya 2 loh, kama alikopa kweli hatasau aseee!
 
Duh! Sasa unashida na bado mtu akupm!

Tatizo liko wapi?
Kwa mfano wewe ukiona mtu ana shida anatangazwa kwenye tiivii halafu akaweka namba yake ya simu, utamwambia kuwa yeye ndo anapaswa kukupigia ili umsaidie?
Hata hivyo siwajui watu wa humu ndani, hivyo ni vema nikaomba mtu binafsi anipm kwani nikianza mimi penginepo wengine hawatapenda. Umenisoma?
 
Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.

Kuna nini kilitokea mbona siwaelewi?
 
Una lako jambo la kifataki kwani mtaani kwenu hawapo?

Ndio maana hata hapa nimeshindwa kuya-expose matatizo yangu jamvini. kuna mambo mengine ni vigumu sana kuyaanika, na wengine tumeumbwa na hulka ya aibu.
 
Jf bana! Humu ipo siku mtu atamtongoza boss wake. Ama kidume kimtongoze mkewe live!
Haya langu jicho.nyie njooni na mbinu za kitoto...toto tu hapa.
 
ndugu yangu hapa kuna mawili.......kumbuka ID zinazotumika hazionyeshi jinsia.....
labda wewe mwenyewe ungeamua kumPM yule ambae unaona umeridhika nae....

Preta!
beware of what lies beneath! hallelujah!
 
Jf bana! Humu ipo siku mtu atamtongoza boss wake. Ama kidume kimtongoze mkewe live!
Haya langu jicho.nyie njooni na mbinu za kitoto...toto tu hapa.


msada lazima uwe mtongozo?
 
msada lazima uwe mtongozo?

kiritimba's Avatar
JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th August 2011
Posts : 411

Rep Power : 21

Default Nimeamua kuoa baa medi

Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.

Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.

Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.

SI UTANI NIMEAMUA KUOA BAAMEDI. Labda stress zitapungua!

kwa taarifa yako kitabia tulishakusoma kama hii post yako hapo juu inavyoshawishi tukuelewe wewe ni mtu wa namna gani.
pili mission yako yote in your mind already tracked...ulishajianika vya kutosha brother.
so find another strategy not this one.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom