Nimeamua kuoa baa medi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeamua kuoa baa medi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kiritimba, Nov 17, 2011.

 1. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.

  Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.

  Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.

  SI UTANI NIMEAMUA KUOA BAAMEDI. Labda stress zitapungua!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ishu sio mtu anafanya shughuli gani (baamedi...mwalimu..n.k) ila ni tabia binafsi na vile alivyo ndivyo vinavyomfanya awe mke mzuri au mbaya.
  Unaweza na wewe ukafuata mkumbo na kuchagua shughuli ya mtu badala ya mtu uturudie hapa ukilia!!

  Omba Mungu ufanikiwe mwanamke atakaekufaa kama mke na rafiki bila kujali shughuli anayofanya!!
   
 3. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Na angalia, usisafirie nyota ya mwenzio ndugu yangu, kama kwake iliwork usidhani kwako itafaa...kuwa macho babuu!
   
 4. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanawake wengi siku hizi hasa wale wanaojiweza kielimu na kipato ni stress tupu.
   
 5. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niwe macho na nini sasa. wacha nitesti zali.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,997
  Trophy Points: 280
  Bora kuoa baa medi kuliko kuparamia wanyama.
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  utakuwa umeachika wiki hii
   
 8. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu.
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani bamedi ana tofauti gani kimwili na hao wengine "wenye kazi za hadhi"
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu kama umeona huyo Baamedi ndio chaguo la Moyo wako, wewe Muoe, muanze maisha. Hilo la kwamba Wanawake wanaojiweza kielimu na kipato ni Stress, hizo ni Fikra na maoni yako binafsi, kuna Wanaume wapo ktk ndoa na wanawake wa namna hio na wana maisha ya furaha siku zote.
   
 11. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160


  Hiyo red kawaambie watoto wenzio wasio na ndoa. Hakuna kitu kama hicho kwa binadamu asilani abadani
  Ugombane na Mama/Baba/Kaka/Dada nk ndugu wa damu sembuse mliokutana wote mna meno 32??? Hilo sahau
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  We tafuta taratiiiiiiiiiiiibu utakae pata anae kupenda basi unafika bei jumla usilembe wenye madau wakakuzidi.
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mmoja akijifanya mjinga kamwe ugomvi hauwezi tokea daima milele
   
 14. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa kunipa moyo mkuu.
  Naona "warembo wasomi" wa humu wameshaanza kunishambulia. Wanajijua udhaifu wao.
   
 15. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una hekima sana mkuu. Nashukuru kwa kunijibia.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mke mwema hutoka kwa Mungu, uoe Barmaid au m2 aolewe na Bartender hakuna shida ilimradi mioyo iridhiane. Songer mbele 2!
   
 17. k

  kiritimba JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 603
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu.
  No kidding here.
   
 18. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  kaka niyo ni bahati ya mwenzio na wala usiilalie kwa mlango wazi utakuja kujuta tafadhali,kama ni mwana mke tafuta taratibu utapata tu acha papara mzee.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi uzoefu wangu wa kutongoza hawa mademu wanao jiita wasomi nawaogopa kama UKIMWI
  We jipange tu sio kila bar mad ni malaya wengi wanatafuta maisha kama ilivyo kwa mwingine yupo sokoni au ofisini.
   
 20. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hakuna tatizo mkuu,kama moyo wako umemchagua yeye.Nalog off
   
Loading...