Wana MMU wakike msaada pliiziii!

kiritimba

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
603
88
Nina matatizo makubwa sana ambayo nisingependa kuyaanika hapa upenuni. Naomba ridhaa ya mwanajf yoyote yule wakike anipm ili aweze kunisaidia tafadhali.

angalizo: huu si utani, nipo siriaz nina matatizo.
matusi na kejeli yatapuuzwa.
karibuni sana.
 
ndugu yangu hapa kuna mawili.......kumbuka ID zinazotumika hazionyeshi jinsia.....
labda wewe mwenyewe ungeamua kumPM yule ambae unaona umeridhika nae....
 
nOna hii thread inadhalilisha wanawake

usinilazimishie ban. kama hutaki kuchangia kaa pembeni hujaitywa. afterall nimewaomba wanawake, we mwanamke? au hujui jinsia yako. au unabembeleza urafik kwa wanawake wa humu kupitia hii thred. usinilazimishe kuandika zaidi.
 
DUUU! inaonekana uko hasira eeh!! tukana mwaya ndo hasira zitaisha other wise utapasuka!!! chezea baamedi ww!!
 
wewe si ulisema unaoa baamedi bwana?ndo kaleta matatizo?mimi sina experiece na mabaamaid siwezi kukushauri mkuu

kiritimba
17th November 2011 17:56
#1 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th August 2011
Posts : 386
Rep Power : 21

[h=2]
icon1.png
Nimeamua kuoa baa medi[/h] Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.

Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.

Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.

POLE SANA TAREHE 17NOVEMBER 2011 NA LEO TAREHE 23 NOVEMBER2011 WIKI MOJA YAMEKUSHINDA ...LOL
 
kiritimba
17th November 2011 17:56
#1 JF Senior Expert Member Array

Join Date : 18th August 2011
Posts : 386
Rep Power : 21

icon1.png
Nimeamua kuoa baa medi

Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye fedha....n.k; lakini wote wana matatizo mengine tofauti, mengine yanafanana. Kiufupi hawafai kuwa MKE.

Sasa jamaa yangu yeye alichukua baamedi kipindi kile tunaenda kwenye kilaji, akakolea akavuta kitu ndani. Yaani wana maisha ya raha ile mbaya. Hadi sasa wana watoto wawili na maisha yao yanaendelea raha mustarehe...hawajawahi kugombana wala kuzozana hata siku moja. Ni heshima na upendo kwa kwenda mbele.

Mshikaji amenishauri nami nivute baamedi nifanye kama yeye. Tayari kuna kitu kimoja kwenye baa moja maarufu sana hapa mjini nakivizia. Kikiingia laini tu nakiweka ndani.

POLE SANA TAREHE 17NOVEMBER 2011 NA LEO TAREHE 23 NOVEMBER2011 WIKI MOJA YAMEKUSHINDA ...LOL

so what!
 
Hivi mbona watu wanakariri sana. Kwani nimesema tatizo nililonalo linatokana na nini? sasa mbona watu wananilisha maneno? wanajitungia tatizo na kunitwisha. enyi wachache msiwe kama kasuku.
 
ndugu yangu hapa kuna mawili.......kumbuka ID zinazotumika hazionyeshi jinsia.....
labda wewe mwenyewe ungeamua kumPM yule ambae unaona umeridhika nae....

Hili nalo neno, asijekuwa kama yule jamaa walomkwanyulia mkwanja wake!!!
 
Back
Top Bottom