Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
we ushazoea kunirushia mawe
Unanisomaga vibaya ndugu.......alafu midamida tu nilikuwa na mpango wa kuitafuta ile thread niangalie replies zako, but anyways ngoja nijiengue taratibu aiseee!!
we ushazoea kunirushia mawe
Mwayego nipm mimi,nitakujibu. Ila kama ina hasira uziache huku sebuleni. Haya,twenzetu.
Teh,teh,teh,teh kazi ipo,mwenye siredi sory ngoja wanawake waje!
Hee!Unajua anachotaka huyu?
Unanisomaga vibaya ndugu.......alafu midamida tu nilikuwa na mpango wa kuitafuta ile thread niangalie replies zako, but anyways ngoja nijiengue taratibu aiseee!!
ati..!
Tahadhari kabla ya hatari, humu ni mwendo wa invisible tu lol!!
hata we hapo umenisoma vibaya
na mimi naomba ni ku PM,nina matatizo na mke wangu wa 30 years.Mwayego nipm mimi,nitakujibu. Ila kama ina hasira uziache huku sebuleni. Haya,twenzetu.
Lol, afu yule jamaa hajaitumia tena ile id yake, nafikiri ameamua tu kukubali yaishe...na ukata huu utapeliwe malaki mawili?? Hatasahau milele asee.Hili nalo neno, asijekuwa kama yule jamaa walomkwanyulia mkwanja wake!!!
Hee!Unajua anachotaka huyu?
Mwayego nipm mimi,nitakujibu. Ila kama ina hasira uziache huku sebuleni. Haya,twenzetu.
usinilazimishie ban. kama hutaki kuchangia kaa pembeni hujaitywa. afterall nimewaomba wanawake, we mwanamke? au hujui jinsia yako. au unabembeleza urafik kwa wanawake wa humu kupitia hii thred. usinilazimishe kuandika zaidi.
na mimi naomba ni ku PM,nina matatizo na mke wangu wa 30 years.
nalog off (source:Washawasha)
Nina matatizo makubwa sana ambayo nisingependa kuyaanika hapa upenuni. Naomba ridhaa ya mwanajf yoyote yule wakike anipm ili aweze kunisaidia tafadhali.
angalizo: huu si utani, nipo siriaz nina matatizo.
matusi na kejeli yatapuuzwa.
karibuni sana.
wewe pm seva yako si imejaa?