- Wakuu naomba kusema kidogo hapa pembeni, ni muda sasa sijawaona hawa wakuu wawili yaani Capo Kuhani na Mkulu wangu Lunyungu, ningependa kuwaomba kwamba wanahitajika hapa katika kuchangia taifa, rudini wakuu taifa liko njia panda jamani.
- Popote mlipo tafadhalini mniskie kwamba mrudi haraka sana mnahitajika hapa Jf kwenye kumkoma nyani, na wale mliokaribu nao wakumbusheni wakuu hawa kurudi nyumbani hapa.
Respect!
Wazee wa sauti ya umeme FMEs!
Umefanya jitihada gani kuwatafuta kabla hujatangaza humu? Kwa mfano, ungejaribu kuwatumia PM kwanza, ukiona kimya ndio utundike mtangazo la kuwatafuta hao jamaa!
Si lazima uwe unachangia kila kitu....
FMES
Mbona na wewe ulipotea??? Ila wewe uzuri wako uliaga!
Vipi huko Algeria? Hali yao ikoje?
Demokrasia vipi na maendeleo?
We missed you hapa Mzee!
Mkuu FMES
Wengine woote nimewasikia na natoka msituni .Niko Algeria naangalia uchaguzi wa kimabavu .Kesho naelekea Dar kungojea mdundo wa kamati kuu .
Hongera mkuu kwa mabandiko 1000.Lunyungu Hujaacha FIX zako?
niliifikiri utakuwa venezuelac na totozi za kilatino....Mkuu FMES
Wengine woote nimewasikia na natoka msituni .Niko Algeria naangalia uchaguzi wa kimabavu .Kesho naelekea Dar kungojea mdundo wa kamati kuu .
Lunyungu yupo China