Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Hali si hali ni balaa tupu kama unavyo ona wana CCM wanasema ni JK pekee na kule Bunge linasema ni huyu jamaa pekee na security nk wanasema lazima jamaa awe yeye .Naangalia tu sasa

Lunyungu.

Kunafaa mzee kuzamia huko?

Na bibi wa Kiarabu je ntaweza pata?

ha ha ha!

Vipi siasa zao ni nzuri? maendeleo vipi?
 
hey wanajamii yuko wapi mwana-jamvi mwenzetu Faith, ni kitambo sijapata mchango wake, ambao nimekuwa niki-uthamini sana!!
 
kweli ijumaa ina mambo
haya tueleze unamuhitajia nini huyo ndito yangu?
 
- Ni muda sasa sijawaona members wafuatao yaani:-

1. Wild Card, 2. Ze-Marcopolo, na 3. Jamco-za,

- Unajua michango yao huwa safi sana vipi mpo wakuu? Rudini wakuu mnahitajika hapa JF!

Respect.

FMES!
 
Mbona Ze Marcopolo yupo around? Jioni alionekana anavinjari kule kwenye thread ya ''Kuingiza gari........''
 
- Ni muda sasa sijawaona members wafuatao yaani:-

1. Wild Card, 2. Ze-Marcopolo, na 3. Jamco-za,

- Unajua michango yao huwa safi sana vipi mpo wakuu? Rudini wakuu mnahitajika hapa JF!

Respect.

FMES!

Thanks Mkuu, jana niliwaza sana kuhusu some members pia... hivi na yule Masaka yuko wapi??
 
Mimi nipo sana ila lately JF ilivamiwa na boom la habari za Rostam na Mengi, hizi huwa siziwezi kuchangia. Huwa nazisoma tu. Jamvi hili hatuwezi kulitupa. Btw, tusisahau kuwakilisha michango yetu kwa ajili ya JF.
 
- Unajua nilimsahau na ndugu Masaka, kumbe mpo? Ninashukuru sana kusikia hizi good news, kwamba kumbe mpooooo!

- Nafikiri ujumbe umefika kwamba njooni tukate ishusssss!

Respect.

Wazee wa sauti ya umeme Field Marshall Es.🙂
 
Mimi nipo sana ila lately JF ilivamiwa na boom la habari za Rostam na Mengi, hizi huwa siziwezi kuchangia. Huwa nazisoma tu. Jamvi hili hatuwezi kulitupa. Btw, tusisahau kuwakilisha michango yetu kwa ajili ya JF.

Mkuu, kama hutajali swali langu, hebu tumegee sababu zako za kushindwa kuchangia katika mijadala kuhusu habari za hao jamaa ambazo hivi karibuni ziliitikisa serikali ya Tanzania.
 
- Between the lines naona hii ni very interesting topic, ingawa ni vyema kwamba wamejitokeza tayari kwamba wapo.

William.
 
- Ni muda sasa sijawaona members wafuatao yaani:-

1. Wild Card, 2. Ze-Marcopolo, na 3. Jamco-za,

- Unajua michango yao huwa safi sana vipi mpo wakuu? Rudini wakuu mnahitajika hapa JF!

Respect.

FMES!
Tusimsahau Mugongo Mugongo siku nyingi hajachangia lakini makombora yake tunayakumbuka! Mkuu rudi kundini!
 
Back
Top Bottom