Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Wana JF Hawa Wako Wapi?...

Mimi nipo sana ila lately JF ilivamiwa na boom la habari za Rostam na Mengi, hizi huwa siziwezi kuchangia. Huwa nazisoma tu. Jamvi hili hatuwezi kulitupa. Btw, tusisahau kuwakilisha michango yetu kwa ajili ya JF.
Kwa nini huwezi kuchangia Mkuu?
 
- Swali zito sana mkuu Bubu, labda tusubiri majibu, patamu hapa sasa!

FMEs!

Nakubaliana na wewe Swali ni gumu kulijibu, kwa sababu kulijibu kwake kunanipeleka moja kwa moja kwenye kuchangia mjadala ambao kwa sababu za kifalsafa ninaamini sipaswi kuutolea kauli.

Mkuu Bubu, tuko pamoja katika harakati pamoja na kushindwa kujibu swali lako.
 
Na Pundit yuko wapi jamani??? Alikwa kiboko wa ku edit Kiingereza. Akiandika kiingereza inabidi wengine tuchukue Dictionary ya English bombastic!!! I miss her/him. Come back?? Where are you hidding man???
 
Nakubaliana na wewe Swali ni gumu kulijibu, kwa sababu kulijibu kwake kunanipeleka moja kwa moja kwenye kuchangia mjadala ambao kwa sababu za kifalsafa ninaamini sipaswi kuutolea kauli.
.

- Nimekusikia mkuu, ila good to know kwamba upo!

Respect.

FMES!
 
Na Pundit yuko wapi jamani??? Alikwa kiboko wa ku edit Kiingereza. Akiandika kiingereza inabidi wengine tuchukue Dictionary ya English bombastic!!! I miss her/him. Come back?? Where are you hidding man???

Mkuu unaniacha hoi..the truth is in front of you.Ina maana humuoni tu?.ok to be exact huwaoni tu?
 
Nakubaliana na wewe Swali ni gumu kulijibu, kwa sababu kulijibu kwake kunanipeleka moja kwa moja kwenye kuchangia mjadala ambao kwa sababu za kifalsafa ninaamini sipaswi kuutolea kauli.

Mkuu Bubu, tuko pamoja katika harakati pamoja na kushindwa kujibu swali lako.

mmmmhh...........!!
 
Kwa atakayempata ntashukuru kumshawishi arudi jamvini...asahau matokeo ya jana ilikuwa ni mpira tu tugange yajayo always kuna tomorrow...

mis u belly
 
kuna hali ya hatari imetangazwa.....kuwa kamba haziuzwi leo hadi kwa kibali cha kamanda wa kanda maalum, sasa sielewi ni kwa nini! Kimoja ninachokiona ni kuwa mji wa Dar es Salaam, uko kimyaa sana leo, huenda watu wengi tayari HATUNAO, ndo maana Tahadhalri zimeanza kuchukuliwa!!
 
Wakuu nimeona kwa muda sasa kuna ukimya mkuu kutoka kwa member maarufu sana Mkuu Mtindiowaubongo ....kwa kawaida MT huwa ni mchangiaji mzuri sana hapa JF tangia nijiunge but nimeshangaa siku za hivi karibuni haonekani kabisa hapa. Je, kuna member anajua nini kimemtokea huyu mkuu......!

Personally I miss mchango wake hapa.....hasa kwenye mambo ya Dini & Siasa....and I hope hata mkuu X-PASTER atakuwa kammiss kwani ni ''mtani wake wa jadi''. Mkuu Maxshimba as well hopeful atakuwa kamiss swahiba wake mkuu!

Nimejaribu kuangalia kule kwenye list members ....hayupo hata kule, nikarajibu kuclick jina lake kny post mojawapo......I only got this message below...!

JamiiForums Message
This user has not registered and therefore does not have a profile to view.

Where is this man now....kapewa life ban nini?
 
Atakuwa yupo busy na mambo bajeti huko bungeni.
 
Inawezekana yupo kifungoni kama umeshindwa kuliona jina lake kwenye members list,hatakuwa anatumikia kifungo huyo.JF siku hizi watu wanakula kifungo kimya kimya mkuu kama Yo Yo.
 
Unaweza kukuta pengine alitangulia mbele za haki,unajua mambo ya kuficha ID haya yana matatizo yake!
 
Unaweza kukuta pengine alitangulia mbele za haki,unajua mambo ya kuficha ID haya yana matatizo yake!

Mkuu usiseme hivyo! bado tuna muhitaji hapa,nadhani anatumikia kifungo bila shaka.
 
Back
Top Bottom