Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu