pata

The pata (Marathi: दांडपट्टा) is a sword, originating from the Indian subcontinent, with a gauntlet integrated as a handguard. Often referred to in its native Marathi as a dandpatta, it is commonly called a gauntlet sword in English.

View More On Wikipedia.org
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

    Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
  2. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Pata nafasi za kazi Tanzania na Nje ya nchi kupitia ChuoSmart

    Unatafuta ajira ya kudumu, kazi za mtandaoni (Remote Jobs), internship, part-time, freelance au nafasi za kujitolea? ChuoSmart Jobs ni jukwaa linalokuwezesha kupata nafasi mbalimbali za kazi kutoka Tanzania na nchi nyingine, huku likikurahisishia kutafuta kazi kulingana na taaluma, eneo na aina...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania itakuja pata tajiri namba moja mweusi, atakuwa nani?

    Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro, umewaamsha wabongo weusi wasikae kizembe. Hivi unafikiri nani atakuja kuwa tajiri wa kwanza mweusi...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Pata pesa tujue tabia yako

    hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

    Naombeni mawazo nataka kumiliki ndinga nina laki 7.
  6. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo Cha kufundisha part time tutorial assistant?

    Wajuzi wa hizo kazi naomba msaada wenu kwa mwenye kufahamu au kuwa na taarifa. Baada ya kumaliza kazi zangu za Kila siku huwa nakuwa na muda kidogo ambayo naona kama unapotea. Sasa nahisi kama ninaweza kuutumia muda huo kujiongezea kipato kwa kuutumia ujuz na maarifa niliyojaaliwa na mungu...
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ninahitaji damu kwa ajili ya mgonjwa, wapi naweza pata kwa kununua?

    Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara. je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10. I mean no malice to nobody Asanteni wakuu, nimesha pata ufafanuzi na msaada zaidi. Shukrani sana
  8. Wakufoji

    JamiiForums Tanzania Kama uta pata ajali ya kujiunguza au mtu wako wa karibu akiungua mtibu hivi ata pona papo hapo

    Hii ndiyo tiba na huduma ya kwanzaya kuungua iwe na moto au maji au chochote. Ni baada yakupata hiyo ajali hakikisha haugusi kitu chochote cha baridi. Yaani epuka kutumia maji au kitu chochote cha baridi. Baada ya hapo tafuta nguo nzito au shuka zito au hata koti zito ni sawa kishachukua hiyo...
  9. Royal Son

    JamiiForums Tanzania PATA CAR DIAGNOSIS SCANNER JUA TATIZO LA GARI LAKO KABLA YA KWENDA GARAGE

    🚗 OBDII Scanner – Chunguza Gari Lako Kitaalamu! 🔧 Unapata shida kujua tatizo la gari lako? Suluhisho ni hii OBDII Scanner yenye uwezo wa kusoma na kufuta error codes kwa haraka na usahihi 💯 ✅ Inasoma matatizo ya engine (Check Engine) ✅ Rahisi kutumia – Plug & Play ✅ Inafaa kwa magari mengi ya...
  10. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Pata charger simu yako na abiria wako walio seat ya nyuma kwa bei poa

    🔥 CAR USB CHARGER (FAST CHARGING 48W) 🔥 Chaji simu zako kwa haraka na urahisi! Ina ports 6 (Type-C + USB) – unaweza kuchaji abiria wa mbele na wa nyuma kwa wakati mmoja 🚗⚡ Waya mrefu (1.5M) unawafikia hadi waliokaa nyuma Inafaa kwa simu zote na vifaa vingine 💰 OFa: 30,000/= tu 📍 Arusha Town 📞...
  11. astalavista

    JamiiForums Tanzania Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  12. Jitu la-Mtumba

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba mtoto wa mkulima asiye na connection hawezi pata kazi kwenye taasisi nyeti/ zenye mishahara minono hapa Tanzania?

    Habarini wana jukwaa,.najua mnaendelea vizuri makundi yote sasahivi mmeshiba pamoja na wale wanaoamini mizimu. Kila mtu huwa na ndoto ya kufanya kazi zenye malipo manono kama B.O.T, TPA, mkuu wa idara safi,n.k kwenye umri mdogo. Nlikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye wazazi wake ni watu wenye...
  13. kali linux

    JamiiForums Tanzania Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pata picha eti hawa ndo wabeba maono wa Serikali ya Tanzania

    GT Sina ugomvi na watu wa Pwani lakini ni watu wavivu sana. Na serikali ikijaza watu wa aina kwenye uongozi usitegemee chochote cha maana kitafanyika.. Mfano. 1. Mchengerwa 2. RITZ 3..Awesu 4.Jafo 5. Ulega Etc Nchi hii ili iweze kusonga mbele upstairs wanatakiwa wawepo. 1. Wachaga 2. Wahaya...
  15. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumpata kwa namna hii?

    m
Back
Top Bottom