Mponjoli
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 668
- 152
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Sorry mkuu ,naomba nitofautiane na mawazo yako ya kijinga(ujinga siyo tusi mkuu, ila ni kutojua).
Kuna watu kwao ni hapa Dar es salaam toka haijawa jiji. Kilikuwa kijiji tu hiki enzi hizo,nao unawaambiaje? Wewe mkeo amezalia wapi? Mama yako alikuzalia wapi? Kijijini nako unajua hali ilivyo? Mama yako wakati anakuzaa alikuwa na kipato kiasi gani?