Fauya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 315
- 575
Akili kichwanWe usidanganye wenzako
Akili kichwanWe usidanganye wenzako
Soma post namba #122Hizo bus tu huna, hata hesabu zake tu znakushnda
Anyway wazaz wang sio walevi kama wako
Siyo kwamba nimeamua kuamini hivyo.Siwezi kukubishia mkuu kwakuwa wewe umeamua kuamini hivyo. Unaweza ukalima matembele na ukawa bilionea vilevile iwapo utafanya tofauti na mazoea.
Watu wengi wenye pesa wanafikiri na kutenda tofauti na malofa.
Malofa ndo washirikina wakubwa, muda mwingi wanautumia kuloga watu wenye mafanikio na wao wanaendelea kuwa malofa.
Mkuu endelea kufikiria kuwa pesa ndefu lazima ufuge majini.
Utakufa ukiwa lofa mwandamizi.
Unaweza ukute uko mjini hapoWatanzania wengi, hasa wakata ufuta hawaamini ktk mambo makubwa. Wanaamini ktk mambo madogo. Mambo makubwa ni mindset yako tu. Ukiamua kwamba hutaishi skwata itakuwa hivyo. Ukiamua kuwa hutakuwa Lofa utakuwa Tajiri tena sana.
Ukienda Ipinda Kyela ardhi ekari moja inakodishwa kwa shs elfu 30 hadi 50, mpunga kule unalimwa kwenye majaruba na nchi kavu. Kuna kijana yupo Dar amepata milioni 3, milioni kahonga, moja kalipa kodi sinza awe anaangalia matako, moja ameenda kubeti. Dadeki lazima uishie kufungua nyuzi kama hizi. Nchi ina pesa sana hii.
Majority ya matajiri wamepata ukwasi kwenye ardhi, madini, ufugaji, uvuvi na kilimo. We kaaga mjini unabishana TL na VAR Spana na akina 007, ukitoka kule unakuja jf kupoteza muda. Mindset za kitajiri utazisikia hata zinapozungumza Zina content fulani exceptional, msikilize Musukuma,Shabiby,Kishimba nk utagundua vichwa vyao vina kitu tofauti.
Nchi ina pesa hii tokeni magetoni, tokeni mjini mtarudi baadae nendeni mikoani huko mtaji kiasi tu unatoboa. Wakinga waliojaa Kariakoo wanaoijenga Kariakoo wameanzia huko mikoani sasa wapo Dar wamegawana wengine wako China na wengine wamenunua meli, ni kabila dogo lenye akili ila malofa wanaamini ni wachawi, ukikalia fikra za negativity kuhusu successful people hutaendelea.
Binafsi watu waliofanikiwa hapa Tanzania na abroad ndio wananipa mshawasha wa kuzisaka njuruku kwa kasi. Jana tu YouTube nimecheki ABC News live Trump anashuka na jidege lake Boeing nikapata hasira ya kusaka pesa zaidi. UTAJIRI UNAANZIA KWENYE POSITIVE MIND.
We unadhani kijijini kuna network basiUnaweza ukute uko mjini hapo
Dah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hayo mabasi unayoyaona ni chamtoto hawa jamaa Wana mahoteli ya hatari,Petro station za kutosha,ukija kwenye kilimo na ufugaji ukiona utalia brother!! Yan ng'ombe wao wanatoa maziwa kama Wana kisima tumboni!! Wana magest daaaa acha tuu
How does it pay, mabus yanalipa kwani kama yanavyo zungumziwa hapa au ni fahari ya macho kwamba chuma mpya luxuryMkuu hii issue mbona simple tu sio rocket science iko hivi mkono mtupu haulambwi wewe piga Mishe zako umake around 400M then approach bank kama equity wanatoaga mikopo ya mabus . We utachangia 40% percent ,60% percent watakuchangia wao kwahyo kama bus linacost around 300M we utalipia 120M the rest watacover wao so kwa hesabu ya haraka haraka hukosi bus zako 3 hapo uzuri Mkopo unakuwa insured kadi inabaki benki mpaka umalize rejesho meanwhile tayari na wewe unakuwa unazungumziwa HIVI PUNDE BUS SERVICES kashusha yutong mpya 3 (kwenye kupata hicho kianzio ndio tusiulizane sasa kama unaweza kuingia kuchimba dhahabu ni wewe, kama unaingia ziwani kuvua samaki ni wewe, kama unauza shamba LA urithi ni wewe) NB MKONO MTUPU HAULAMBWI
Unaweza ukute uko mjini hapo
Yupo kwenye kochi la shemeji yake anatyping.......alafu anaongea kama motivational speaker lima na ulimeje lima hata ekari 50 lakini bilioni 5 hupati hata milioni 300 hupati.Unaweza ukute uko mjini hapo
Satco ni mdogo wake ShabibySamsa Logistics wana lori nyingi, nani mwenye hii kampuni maana wanagari nyingi pia, vile vile hata hawa wanyarwanda wanazidi kwa gari nyingi sana za mizigo. Lori zenye RL.....ni za kutosha.
Kwa Buses Kanda ya ziwa kwenda Dar Ally's ana fujo na road, bila kumsahau SATCO na happy nation.
Kisbo kaanza kubadilika anamabasi mapya lakini Kapricon ananunua kwa matajiri wenzakeKisbo tangu lini akanunua Bus jipya hata hao kapricon Arusha express na wenzao
Tumezoea kusikia kuwa ni ya malechela hayo....mara ya sumaye hayo...mara ya majaliwa hayo weweeImagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndiyo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Uko sahihi, nimeingia Morogoro mwaka 1992 ABOOD alikuwa na biashara ya ya duka la jumla pale mjini yalipo makazi yake na ofisi kuu. Baadae akawa na Bus sijui moja au mbili,tena kipindi hicho ni mzee wao mwenyewe hawa akina ABOOD mbunge walikuwa sekondari. BM (Blasta Makundi) biashara zake kubwa zilikuwa huko Turiani, maeneo ya Madizini miaka hiyo ya tisini. Baadae akahamia mjini akafungua duka kubwa pale Masika. Kiukweli uwaangalia wote hawa wamepambana, wenzao wakina HOOD, Islam nk wamechemsha...Unachokifanya Leo kinaamua Kesho yako
Kwenye hao sidhani Kama kuna under 30yrs
Na mapambano yao ni ya muda(long term).
Njia walizopitia ni juu yao
Oooh sawa.Satco ni mdogo wake Shabiby
Yupo kwenye kochi la shemeji yake anatyping.......alafu anaongea kama motivational speaker lima na ulimeje lima hata ekari 50 lakini bilioni 5 hupati hata milioni 300 hupati.
labda ubuni ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita 300 kwa siku hapo uwe na soko la maziwa la uhakika maana cow mmoja anatoa lita 30 sawa na 1000 kila lita kwa kijijini 1000×30lita= 30000 per day.
30,000×10cow= 300,000sh.per day
300,000×30days=sh.9000,000
Tufanye pesa ya wafanyakazi na chakula cha cow ni sawa na Tsh.4,000,000 kwa mwezi
9,000,000Tsh.-4,000,000Tsh.
Cow 10 kila mwezi anakulipa Tsh.5milions kwa uuzaji wa lita moja Tsh 1000 tu bei ya kijijini mjini lita ni 1500.
Watu wanauliza bus zinanuliwaje cow wako kwa miezi 5 tu wanakupa 25,000,000 profit imagine uko na 30 cows wenye mimba.
Huku sasa waenda mbali, unaweza kulala chini,kulala na joka kubwa ndani kutoa kafara nduguzo, kuku adonoe punje za mahindi kadhaa,miguu kuwa na kidonga ngudu au kuwafanya uwapendao machizi na mengne mengi unaweza kuwa kama wao japo siyo wote walifanya hayo wengine pesa zao za halali migodi ya madini na biashara.Kwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Hapana hii siyo mkuuMikeka tu
Jitahid uwekeze si chini ya 10k pa dei kwenye mikeka