HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,252
- 103,382
Wengine mikopo jamani yanajilipa yenyewe miaka 2 anapata faidaYani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta shekilango huwa najiuliza nakosa jibu,Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu waliganya kitu gani hadi wakapata hizo hela.