Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Ukiwaza ghorofa bado umeenda mbali, sasa hivi mnaambiwa nunueni viwanja huko chanika mnaona n maporini.

Utajiri upo katika ARDHI miliki ARDHI kadri uwezavyo siku 1 itakuheshimisha.

Msidharau viwanja vinavyouzwa kama hela unayo sasa hivi, tupia Ardhini. it will pay you back siku 1.

utakua ktk historia za matajiri hii nchi,Ardhi haijawahi ni dissapoint.
Saivi B/Moyo bado kuna maeneo yanauzwa 300k ukienda huko karibu na Ruvu ndani ndani kidogo heka moja inauzwa bei ya kutupa
 
Kila kitu kina foundation yake...

Savings. Unaweza ku save? Na je saving yako unaawekeza kwenye jambo ulilo na experience nalo.

Expenses. Je matumizi yako yanazidi unachokipata unaweza manage necessary na unnecessary expenses zako..
Mara nyingi mchawi ni matumizi, sio kwamba watu hatupati pesa!

Mfano mimi nikiangalia hela zilizopita mikononi mwangu ni zaidi ya mil 300...ila mali ninazomiliki hata mil 50 hazifiki [emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Kukuvunia kila ekari moja ya mpunga wanachaji 150k imagine mtu anaingiza katika estate huko ekari zaidi ya 2000 za mpunga zinatakiwa kuvunwa...ndio uone jinsi watu wenye pesa jinsi wanavyopiga pesa
New combines can cost anywhere between $330,000 and $500,000 without add-ons (Source). For this reason, many farmers opt to purchase a used combine to save money. Just like buying a used car, a used combine can be just as reliable and useful as a new combine, depending on what you buy.
 
Sema watakuwa na nidhamu ya pesa katika matumizi na hauwezi wakuta

1. Wako shopping Paris, Milan au New York Kila mwezi wakikimbizana Kununua brands Kama Philipp Plein, Versace, Karl Lagerfeld , Casablanca , Roberto Cavalli, Brunello Cucinelli, Palm Angels, Ozwald Boateng n.k
2. Wako Atlanta Georgia huko kwenye Icebox jewelry shops Kununua necklaces, chains , watches au bracelets wakipishana na akina Lil baby
 
Back
Top Bottom