Usafiri kwa njia ya Mabasi Tanzania pamoja nauli zake (kutoka UBT na Mikoani)

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Nimeona nilete Mnakasha sina uhakika kama umewai letwa,nataka kupunguza usumbufu Ubungo ili unapoenda kukata tiketi angalau upate Fununu kuhusu Gari(mabasi mwenyeji) ya njia anayoenda,nitaweka viwango vya nauli ninavyo vijua kwa sasa unarusiwa kurekebisha

*kutoka UBT kwenda mikoa yote;

1,Dar to Mtwara via Lindi:mabasi ni;WIFI,BUTI LA ZUNGU,NAJMA,MAHUTA,AMANJU,MACHINGA,SOUTHERN,SAIBABA,WAHIDAS-nauli Tsh 22000
2.Dar to Moro:mabasi ni ABOOD,HOOD,GOMBE-nauli tsh 6000
3.Dar to Iringa:mabasi ni ABOOD,HOOD,UPENDO,DELUXE-nauli tsh 25000
4.Dar to Mbeya:mabasi ni MBEYA Exp,ABOOD,HOOD,SUMRY,HAPPY NATION,-nauli tsh 35000
5.Dar to Rukwaa;Mabasi ni Sumry-nauli tsh 55000
6.Dar to Songea:mabasi ni Airforce one,Sumry-nauli tsh 55000
7.Dar to Tanga:mabasi ni RATCO,BEMBEA,RAHALEO-nauli tsh 16000
8.Dar to Arusha via Moshi:mabasi ni DAR EXP,KILIMANJARO,KATKO,NGORIKA,MTEI,OSAKA,SUPA SAMI-nauli tsh 30000
9.Dar to Dodoma:mabasi ni SHABIBY,KIMBINYIKO,CHAMPION,ALSAEDY,-nauli ni Tsh 20000
10.Dar to Tabora via Singida:mabasi NBS,ABC,MOHAMED TRANS-nauli tsh 30000
11.Dar to Kahama:mabasi ni Mohamedi Trans,ALLYS,Mombasa Raha,Najimunisa,Osaka,Falcon,Adventure-nauli tsh 40000
12.Dar to Kigoma:mabasi ni Adventure,Sumry,Osaka-nauli ni tsh 59000
13.Dar to Bukoba:mabasi ni Sumry,Najimunisa,Osaka,Mohamedi Trans,-nauli tsh 60000
14.Dar to Mwanza via Shinyanga:mabasi ni Sumry,Zuberi,Mohamedi,Green star-nauli ni tsh 55000
15.Dar to Musoma:Musoma Exp,Bunda Express,Mohamedi,-nauli tsh 60000


*karibuni kwa marekebisho,sio kejeli hili kuwasaidia wanasafiri sana,naomba wale wa mikoani nao watuletee mfano kutoka Arusha to Kahama,Arusha to Mwanza,Dodoma to mbeya,Mwanza to kigoma,baadhi ya mikoa naweka kumbukumbu sawa,mfano
Mwanza to Kigoma:mabasi ni Saratoga,mchina-nauli tsh 25000
"Vox popoli vox dei"

MAXIMUM (CAPPED) ECONOMIC BUS FARES BETWEEN REGIONAL CENTRES


APPLICABLE WITH EFFECT FROM 12 APRIL 2013


REGION: DAR ES SALAAM


ORDINARY BUS
SEMI LUXURY BUS
LUXURY BUS


DISTANCE
DESTINATION


OLD FARES
NEW FARES
OLD FARES
NEW FARES
OLD FARES
NEW FARES
(KM)
FROM
TO
VIA
30.67
36.89
45.53
53.22
51.64


58.47


DAR ES SALAAM
ARUSHA
CHALINZE
18,900
22,700
28,000
32,800
31,800


36,000
616
DAR ES SALAAM
BABATI
ARUSHA
24,100
29,000
35,700
41,800
40,500


45,900
785
DAR ES SALAAM
BUKOBA
DODOMA
45,700
55,100
66,200
77,300
75,000


85,000
1,453
DAR ES SALAAM
DODOMA
MOROGORO
13,900
16,700
20,600
24,100
23,300


26,400
452
DAR ES SALAAM
IRINGA
MOROGORO
15,200
18,300
22,500
26,300
25,600


28,900
495
DAR ES SALAAM
KIGOMA
KAHAMA
45,400
58,800
69,200
80,900
78,500


88,900
1,520
DAR ES SALAAM
LINDI
KIBITI
14,800
17,800
20,900
24,400
23,700


26,800
459
DAR ES SALAAM
MBEYA
MOROGORO
25,500
30,700
37,900
44,300
43,000


48,700
833
DAR ES SALAAM
MOROGORO
CHALINZE
5,900
7,100
8,800
10,300
10,000


11,300
193
DAR ES SALAAM
MOSHI
CHALINZE
16,400
19,800
24,400
28,500
27,700


31,300
536
DAR ES SALAAM
MTWARA
LINDI
17,800
21,500
25,400
29,700
28,800


32,600
558
DAR ES SALAAM
MUSOMA
DODOMA
42,200
50,800
62,600
73,200
71,100


80,500
1,376
DAR ES SALAAM
MWANZA
DODOMA
35,400
42,600
52,500
61,400
59,600


67,500
1,154
DAR ES SALAAM
SHINYANGA
DODOMA
30,400
36,600
45,100
52,700
51,200


57,900
991
DAR ES SALAAM
SINGIDA
DODOMA
21,200
25,500
31,500
36,800
35,700


40,400
691
DAR ES SALAAM
SONGEA
MOROGORO
29,100
35,000
43,300
50,600
49,100


55,500
950
DAR ES SALAAM
SUMBAWANGA
MBEYA
36,800
45,100
53,100
62,100
60,200


68,200
1,166
DAR ES SALAAM
TABORA
NZEGA
32,300
39,000
46,800
54,700
53,100


60,100
1,028
DAR ES SALAAM
TANGA
CHALINZE
10,600
12,800
15,800
18,500
17,900


20,300
347
DAR ES SALAAM
KIBAHA


900
1,000
1,300
1,500
1,400


1,600
28


NOTE: SOURCE OF DISTANCES TANROADS


*New approved rates per passenger km- Ordinary (paved Rd) 36.89/=; Ordinary (unpaved Rd) 46.11/=; Semi Luxury 53.22/=; Luxury 58.47/= (Source SUMAT *Old approved rates per passenger km- Ordinary (paved Rd) 30.67/=; Ordinary (unpaved Rd) 37.72/=; Semi Luxury 45.53/=; Luxury 51.64/=

(Source: SUMATRA)



MAXIMUM (CAPPED) ECONOMIC BUS FARES BETWEEN REGIONAL CENTRES


APPLICABLE WITH EFFECT FROM 12 APRIL 2013


REGION: TANGA


ORDINARY BUS
SEMI LUXURY BUS
LUXURY BUS


DISTANCE


DESTINATION
VIA
OLD FARES
NEW FARES
OLD FARES
NEW FARES
OLD FARES
NEW FARES
(KM)
FROM


TO


30.67
36.89
45.53
53.22
51.64


58.47


TANGA


DAR ES SALAAM
CHALINZE
10,600
12,800
15,800
18,500
17,900


20,300
347
TANGA


ARUSHA
MOSHI
12,600
15,200
18,700
21,900
21,200


24,000
411
TANGA


BABATI
ARUSHA
17,800
21,400
26,400
30,900
30,000


33,900
580
TANGA


BUKOBA
CHALINZE
49,700
59,900
72,000
84,200
81,700


92,500
1,582
TANGA


DODOMA
CHALINZE
17,800
21,400
26,500
30,900
30,000


34,000
581
TANGA


IRINGA
CHALINZE
19,100
23,000
28,400
33,200
32,200


36,500
624
TANGA


KIBAHA
CHALINZE
9,800
11,800
14,500
17,000
16,500


18,700
319
TANGA


KIGOMA
CHALINZE
52,700
63,600
75,100
87,800
85,200


96,400
1,649
TANGA


LINDI
DAR
25,400
30,600
36,700
42,900
41,600


47,100
806
TANGA


MBEYA
CHALINZE
29,500
35,500
43,800
51,200
49,700


56,200
962
TANGA


MOROGORO
CHALINZE
9,900
11,900
14,700
17,100
16,600


18,800
322
TANGA


MOSHI
SAME
10,200
12,200
15,100
17,600
17,100


19,400
331
TANGA


MTWARA
DAR
28,500
34,300
41,200
48,200
46,700


52,900
905
TANGA


MUSOMA
BABATI
44,900
52,600
64,900
75,900
73,600


83,400
1,426
TANGA


MWANZA
BABATI
38,100
44,400
54,800
64,100
62,200


70,400
1,204
TANGA


SHINYANGA
BABATI
33,100
38,400
47,400
55,400
53,800


60,900
1,041
TANGA


SINGIDA
ARUSHA
23,900
27,300
33,700
39,400
38,300


43,300
741
TANGA


SONGEA
CHALINZE
33,100
39,800
49,100
57,400
55,700


63,100
1,079
TANGA


SUMBAWANGA
CHALINZE
41,300
49,900
59,000
68,900
66,900


75,700
1,295
TANGA


TABORA
ARUSHA
35,000
40,800
49,100
57,400
55,700


63,000
1,078


NOTE: SOURCE OF DISTANCES TANROADS


*New approved rates per passenger km- Ordinary (paved Rd) 36.89/=; Ordinary (unpaved Rd) 46.11/=; Semi Luxury 53.22/=; Luxury 58.47/= (Source SUMAT *Old approved rates per passenger km- Ordinary (paved Rd) 30.67/=; Ordinary (unpaved Rd) 37.72/=; Semi Luxury 45.53/=; Luxury 51.64/=

(Source: SUMATRA)
 
Dodoma to Arusha via Chalinze:Shabiby-nauli ni 38000
 
Narekebisha hapo Dar to Tanga Kwa RATCO nauli tshs 18,000/= yote haijali ni luxury au la. Rahaleo Luxury tu tshs 16,000/= Mengine yakizidi sana 13,000/=. Bembea sijui.
 
Ahsante, Mchango wako unaridhisha tuendeleze ilituweze kuweka Phase "B" pamoja na nauli kupanda mara kwa mara
haki za abiria zisimamiwe vilivyo.
 
...WanaJF walioko Tanga/Arusha: Ningependa sana Kujua Nauli ya Tanga-Moshi-Arusha.
 
Narekebisha hapo Dar to Tanga Kwa RATCO nauli tshs 18,000/= yote haijali ni luxury au la. Rahaleo Luxury tu tshs 16,000/= Mengine yakizidi sana 13,000/=. Bembea sijui.

Safi itasaidia kupunguza wanaotapeliwa Ubungo,
 
Vipi sijaona Dar - Babati (Manyara) hebu tuleteeni mrejesho basi wadau!!
 
*kutoka UBT kwenda mikoa yote;
1,Dar to Mtwara via Lindi:mabasi ni;WIFI,BUTI LA ZUNGU,NAJMA,MAHUTA,AMANJU,MACHINGA,SOUTHERN,SAIBABA,WAHIDAS-nauli Tsh 22000

Kuna mengine hapa hayatokei UBT...
 
Kuna mengine hapa hayatokei UBT...

Ni kweli sababu mengine yaanzia Sudan-Temeke,na Rangi tatu,nimezungumzia ubungo sababu kwa mtu ambaye si mwenyeji wa kusini au ajawai kwenda akifika ubungo atapagawa,ila Sudan a mbagara huko kuna wakazi wengi wa mikoa ya kusini wanayajua magari yao
 
Vipi sijaona Dar - Babati (Manyara) hebu tuleteeni mrejesho basi wadau!!
Mabasi ya Mtei nafahamu yanaenda huko,kuna ile inayopitia Dodoma via kondoa to Babati nauli inaanzia tsh 31000
 
Narekebisha hapo Dar to Tanga Kwa RATCO nauli tshs 18,000/= yote haijali ni luxury au la. Rahaleo Luxury tu tshs 16,000/= Mengine yakizidi sana 13,000/=. Bembea sijui.

Dar -TAnga Ratco na Rahaleo (LUxury) ni Tsh. 16,000/= hiyo 18000 labda vile vishoka kama vimeamua kujalizia kwa juu!!!!
 
Ahsante,lazima tupunguze wezi vituo vya mabasi
In-ShAllah, itumike kila aina ya njia kuziba uovu huu wakuibiwa pia tutumie mbinu za kuelimishana na kuwajuza wasafiri hataikibidi kuweka matangazo kundani ya mabasi !! kama "chunga mzigo wako" uweka usafi,nk.
Wadau tulichangamkie mswada huu kwa masilahi ya jamii.
Good luck.
 
wezi kila sehemu
Dar-ir 25000 na njombe?
Dar-bk 60000 - mpaka Kg si itakuwa inshu?
Kumbe SA panalipa!
 
RATCO na RAHALEO ni kampuni moja / laa ?
Dar to Mtwara via Lindi
AMANJU*= HAMANJU.
 
Back
Top Bottom