Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Mkuu hii issue mbona simple tu sio rocket science iko hivi mkono mtupu haulambwi wewe piga Mishe zako umake around 400M then approach bank kama equity wanatoaga mikopo ya mabus . We utachangia 40% percent ,60% percent watakuchangia wao kwahyo kama bus linacost around 300M we utalipia 120M the rest watacover wao so kwa hesabu ya haraka haraka hukosi bus zako 3 hapo uzuri Mkopo unakuwa insured kadi inabaki benki mpaka umalize rejesho meanwhile tayari na wewe unakuwa unazungumziwa HIVI PUNDE BUS SERVICES kashusha yutong mpya 3 (kwenye kupata hicho kianzio ndio tusiulizane sasa kama unaweza kuingia kuchimba dhahabu ni wewe, kama unaingia ziwani kuvua samaki ni wewe, kama unauza shamba LA urithi ni wewe) NB MKONO MTUPU HAULAMBWI

Sio kwl bank wanakusaidia kutoa gari bandarini na kulipa bima tuu
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Ukiangalia hapo wengi wa wamiliki wa hayo makampuni wengi ni ngozi nyeupe , na Mali zao nyingi hurithishana , wenzetu hua Wana muendelezo mzuri wa Mali tofauti na sisi ngozi nyeusi .
Sisi ngozi nyeusi ukiwa na Mali ukifa na Mali zinakua zimekufa pia ,
Ni tofauti na ngozi nyeupe , hasa warabu na wahindi.
Wenyewe wakiwa na Mali , hata mwenye Mali akifa Mali huaendelea pia .
Wenyewe hufanikawa na hili Kwa sababu huoana ndugu hata ukiondoka Mali zinabaki Kwa ndugu na kuendelea ni rahisi .
Tofauti na sisi ngozi nyeusi tunaokotana barabarani ukiwa na Mali siku ukiondoka unacha vurugumechi balaah

Mfano ni DR Reginald Mengi

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Sipingi hoja yako ya ngozi nyeupe kurithishana mali!

Hiyo list unayoitolea mfano, imetawaliwa na wachaga..
 
Pambana,Pambana anza na kujenga uaminifu kwa waliokuzunguka.

Baba yangu hakunipa mtaji (pesa) wa maisha zaidi ya ELIMU.

na kingine siku 1 aliniambia,Unaenda huko duniani Mtaji wako mkubwa ili ufanikiwe ni UAMINIFU kwa waliokuzunguka.

KUWA MWAMINIFU hata kama huna kitu sasa,epuka kuchukua cha mtu fanya kazi kwa bidiii ukipewa 10,000 ukatumwa kitu cha 1000 ukaenda ukakuta kile kitu kinauzwa 500 usibanie ile 500 rudisha chenchi 9500 kisha mwambie aliekutuma Bidhaaa imeshuka bei chenchi hii hapa.

Kweli yako iwe Kweli na Hapana yako iwe Hapana.

Ukiaminika na waliokuzunguka, ni sifa namba 1 ya kutoka kimaisha huitaji kuwa na kipande cha Ardhi, huitaji kuwa na Pesa.

UKIAMINIKA wewe ni Tajiri hata kama unajiona huna kitu sasa lakini kama kuna mtu akiwaza kumtuma mtu kitu mahali akili yake inakufikiria wewe ndie mtu sahihi (Umemaliza mwaisa).
Kuna watu ni waaminifu lakini ni masikini bado. Vip wewe yule dada wa watu ulimpigaga mia nne (400k) uaminifu uliacha wapi boss kubwa 😀😀
 
Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.

Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa.

Matajiri hao, sifa yao kuu ni 1 "wanakopesheka" Muogope mtu anaeweza kukopa 1B na akapewa muogope sana huyo mtu.

Mpaka upewe kuna vigezo vingi taasisi za ukopeshaji huziangalia ikiwemo mali zisizo hamishika.

Wewe unayaona mabus na malori lakini Hizo taasisi wanajua mali za thamani zaidi ya hayo ma bus na malori.

Ungezijua hizo mali wanazomiliki mpaka wakawa na sifa ya kukopesheka hivyo ndio Ungeandika Thread GAZETI na ???????? ungeanza nazo mpka unamaliza nazo.
Mkuu upo sahihi, namjua kdgo mwenye mabus ya satco. Ana nyumba kibao za kupangisha dodoma toka kitambo pamoja na viwanja na baada ya kufanya kazi kwa kaka yake(shabiby) alimpa bus moja tuu yutong single namba CVL kama sijakosea ila badae akamuuzia mawili tena baada ya apo akaendelea saiv nadhani anafikisha bus 20. Ulichisema kuhusu kukopesheka na kua na mali tofauti na mabus upo sahihi kabisa
 
Chukua points nilizoandika au achana nazo kwa sababu that's how free mind works.. Hata ukataufuta umo ndani ya free mind na negativity. Pahala nilipo hapakusaidii zaidi consider content kama unahisi itakufaa.
Huwez eleza mtu namna ya kuvua wakat hata nyavu hujui ikoje
 
Kabla hawajawa na hayo mabasi wanamiliki "real estate" za maana sehemu tofauti.

Ukiwa na Plot 1 tu pale k.koo msimbazi, una uwezo wa kukopa Bank hela ya kufata Yutong zako hata 10 na ukapewa.

Matajiri hao, sifa yao kuu ni 1 "wanakopesheka" Muogope mtu anaeweza kukopa 1B na akapewa muogope sana huyo mtu.

Mpaka upewe kuna vigezo vingi taasisi za ukopeshaji huziangalia ikiwemo mali zisizo hamishika.

Wewe unayaona mabus na malori lakini Hizo taasisi wanajua mali za thamani zaidi ya hayo ma bus na malori.

Ungezijua hizo mali wanazomiliki mpaka wakawa na sifa ya kukopesheka hivyo ndio Ungeandika Thread GAZETI na ???????? ungeanza nazo mpka unamaliza nazo.
umemaliza kila kitu. Sasa mtu kama abood. Ni mfanyabiashara, ni mwanasiasa, alaf unaulizaje kapata wapi hela. Hawa watu wenye influence kisiasa wana influence kwenye connections zote zikiwepo za kukwepa kodi kwenye baadhi ya business zao. Pia kiuchumi wameshafikia economies of scales. Mlalahoi asiye na kitu hata akipewa basi moja mpya kabisa hutoboi utaliweka juu ya mawe muda si mrefu
 
Back
Top Bottom