uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Kisbo tangu lini akanunua Bus jipya hata hao kapricon Arusha express na wenzaoBila Kisbo uzi huu batili.
Kisbo tangu lini akanunua Bus jipya hata hao kapricon Arusha express na wenzaoBila Kisbo uzi huu batili.
Hela za magumashi zipo acha kujifanya kama wewe huishi dunia hii tunayoishi.Hakuna mtu yamewahi kumkuta zaidi ya story za kusadikika na watu wanaamini kama yalivyo. Nyie wenyewe fikirieni with an open mind kama umewahi kuona ushirikina zaidi ya matangopori mliyomezeshwa. Hamjawahi na hamtaona ushirikina sababu haupo, mnaaminishwa na mnaambiwa muamini tu bila kuuliza.
Kuna mtu kwenye huu uzi kasema tajiri alikutwa na nyoka nimeuliza jina la huyo tajiri hana, kwanini? Sababu alisimuliwa na yeye akaamini kama yalivyo.
Kuna huu uzi hapa chini mleta uzi alileta kisa cha diwani mshirikina Kigoma, kama kawaida ya nyumbu wakaamini without questioning. Mimi niliomba jina tu la huyo diwani na kuahidi kutoa laki tano TSH kwa yeyote yule atayenipa jina tu huyo diwani, yapata miaka miwili sasa si mleta Uzi au nyumbu wamenipa hilo jina. Hivi ndo story za ushirikina zilivyo.
![]()
Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...www.jamiiforums.com
Hapana, alisema ni bus 42Kuna mdau amesema ni kwa bus moja
Ni sehem ndogo tu ndugu wameanza kwenye real estate, wengize wameanzia na vidala dala kwa kujichangisha mdogo mdogo wakapanda hadi wakafika walipo , safari ya miaka mingi sana pengine hata zaid ya 30 yrsJe hizo real estate wamezipataje je wotw tunazo sasa wao walipata wapi pesa za kumiliki hizo estate ndio swali la mtoa mada lipo hapo
Yap kweliNi sehem ndogo tu ndugu wameanza kwenye real estate, wengize wameanzia na vidala dala kwa kujichangisha mdogo mdogo wakapanda hadi wakafika walipo , safari ya miaka mingi sana pengine hata zaid ya 30 yrs
embu ongea kiswahiliWHAT they do is to borrow money and buying asset that asset pay debt...they think different compare to us....when we middle class and poor we borrow and buy liabilities such as a vehicles za kuendea kazini...
Kabisa mkuu. Tutafute fursa mpya halafu tuzisimamie kwa asilimia 100, mafanikio yapo, japo sio kirahisi rahisi.Ata waliotumia Lipa kwa mpesa wakati zinaingia now wapo mbali sana.
wanachofanya wanakopa wananunua rasilimali inayoingiza hela ambayo huitumia hio hela kulipa mkopo wanafikiri tofauti na sisi watu wa kipato cha kati au cha chini ambapo tunakopa hela tunanunua usafiri wa kutupeleka kutumika yaani kazini...embu ongea kiswahili
Unasema BM umeona Vyuma alivyoteremsha SHABIB???Yani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ta Shekilango huwa najiuliza nakosa jibu. Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu walifanya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
Wana nguvu. Ukitaka kujua ni nguvu ya nini njoo PM. Na hiyo ndio nguvu iliyo mjia Meneja wa Makanmpuni ghafura.
Hela za magumashi zipo acha kujifanya kama wewe huishi dunia hii tunayoishi.
Wewe sema hutaki ushirikina lakini usiseme hazimo. Tumeona mabasi hayaondoki mpaka yazungukwe na mazezeta na zezeta atakacho mwambia konda au agent wa gari atampatia.
Nimeona tajiri mmoja wa vyombo vya usafiri yeye gari zake hazilali nje ya nyumbani kwake na kama unakodi ukisema hairudi usiku huo basi biashara inakufa. Gari hizo kilasiku usiku hukojolewa. Sasa hiyo kawaida?
Yupo mmoja kila alhamis nadhani kama sio ijumaa lazima aanguke kifafa na akishajisaidia hajakubwa ndio anaenda kufungua duka. Sasa wewe unabisha nini? Huwezi jua kilakitu. Ishi,uliza na tembea sana uone mengi
Habari ya kutaka kutajiwa majina achana nayo
..ngoja nikupe mfano mmoja tu wa jinsi wanapata pesa....uone wanavyopiga hela.....chukua basi moja la sh. mil.300...anakopa benki mil.300..ananunua basi......hili basi lina viti hadi 55....kwa safari ya dar moshi nauli sh. 45,000/...kwa viti 55 ni sh. mil. 2,475,000/ kwa trip moja kwenda dar (hapo hujaweka bei ya mzigo)....hapo ukitoa mafuta na service labda mil. 1....anabakiwa na mil. 1,475,000/anakunja kwa siku....piga mara siku 30 (mwezi)....ni mil.44,250,000/ kwa mwezi....piga kwa mwaka (miezi 12) unapata mil. 531,000,000/ hilo ni basi jingine jipya na baki zaidi...hapo ni basi moja limeleta hiyo pesa......kama ana mabasi mawili??au matatu??...kila mwaka ana uwezo wa kununua basi...hata mawili.....na alianza na mkopo wa mil.300 tu benki.....HAKUNA UCHAWI HAPA...NI KUJARIBU TU...KWA KUAMINIWA NA BENKI....SASA HAWA WENYE MABASI WANACHUKUA HELA BENKI WANAVYOTAKA....HIYO NDIO SIRI...Imagine, kuna haya mabasi
Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc
Malori ndiyo usiseme.
Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
..ngoja nikupe mfano mmoja tu wa jinsi wanapata pesa....uone wanavyopiga hela.....chukua basi moja la sh. mil.300...anakopa benki mil.300..ananunua basi......hili basi lina viti hadi 55....kwa safari ya dar moshi nauli sh. 45,000/...kwa viti 55 ni sh. mil. 2,475,000/ kwa trip moja kwenda dar (hapo hujaweka bei ya mzigo)....hapo ukitoa mafuta na service labda mil. 1....anabakiwa na mil. 1,475,000/anakunja kwa siku....piga mara siku 30 (mwezi)....ni mil.44,250,000/ kwa mwezi....piga kwa mwaka (miezi 12) unapata mil. 531,000,000/ hilo ni basi jingine jipya na baki zaidi...hapo ni basi moja limeleta hiyo pesa......kama ana mabasi mawili??au matatu??...kila mwaka ana uwezo wa kununua basi...hata mawili.....na alianza na mkopo wa mil.300 tu benki.....HAKUNA UCHAWI HAPA...NI KUJARIBU TU...KWA KUAMINIWA NA BENKI....SASA HAWA WENYE MABASI WANACHUKUA HELA BENKI WANAVYOTAKA....HIYO NDIO SIRI...
Kuna wengine husema walianza kwa kuuza Karanga kwahiyo inategemea Mtu na Mtu.Kwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Tilisho kaanzia chini mdauNew force ndie Golden deer
Ally's star
Happy Nation
Bm
Abood
Shabiby
Kilimanjaro
Ester
Tilisho
Na wengineo
Kwa kweli Hua wanafikirisha, ukiacha Hao wachina wa new force
Abood na shabiby Hua wanaleta vifurushi kuanzia basi 10, Wakati sisi wengine hata passo hatuna, maisha ni fumbo kwa kweli
MaviiiUkiongea na wamiliki wa mabasi watakwambia mabasi hayana faida ila kila siku wananunua mabasi mapya!
Wewe ni mchawiwengine ni vabaraka tuu.wenye huo mtaji wako serikalini. Ila wengi wao;nasema wengi wao ni ule utajiri kutoka kwa yule jamaa aliyemwambia Yesu amsujudie pale nyikani atampa milki.
Sasa hapo huoni wazazi wako ndo tatizo? Wenzake wakiwa wana invest yeye alikuwa wap?Kwa ninaowajua zilikuwa za wazazi wao, hasa mashamba kwenye prime areas..wakaweka bond then wakainvest kwenye mabus ila it doesn’t work for everyone.