HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,258
- 103,420
MO alienda Kopa RMB sababu ya Riba ndogo, anadai walimpa chini ya Asilimia 8 wakati huo Mabenki ya Tz yalikuwa yakitoza 21%nikufahamishe tu unaowaona wanaaagiza mabus mengi wako in business for 7+ years wako na reputation kwanzia ndani ya nchi mpaka nje ya nchi kwenye kampuni za mabus wako na njia zao nyingi za kupata mitaji either ya pesa au mabasi yenyewe ......kuna kupata mikopo(pesa au mabus yenyewe) through assets kama viwanja ,mashamba,nyumba,viwanda,bonds+hisa,sales agreement contract ,cheo chake ....jamani bandugu hii option ni risk sana na wengi unaowaona wanaishi na madeni makubwa ila "ujasiriamali " lazima usonge wengi mtakataaa ila mnakumbuka story ya mo dewji kutafuta mkopo wa 500bl ...asset alikuwa nazo ila pesa ndo ilikosekana mpaka alivyopigiwa pande la kwa madiba ndo akapata
nyingine ni kuchangiana mitaji au hayo mabus yenyewe kutoka kwa ndugu ,jamaa na marafiki kutoka ndani ya nchi mpaka nje hii inajumuisha pia investors ila kwa makubaliano wanayoyajua wao hili lilikuepo hata kwenye ukoo wetu nanililishuhudia kabisa japokuwa alikuja yauza alivyoona biashara haiendi vizuri
kuna wengine through saving na analipa cash pesa yake mfukoni na anaagiza kuna watu wanapesa tz hii hatujui tu bank statement za watu.....correct me if iam wrong wote tuko hapa kujifunza kutokana na swali la mtoa mada
Pia RMB ilimsaidia wa kuunganisha Bank mbali mbali kupata mkopo wa dollar milioni 200
Ni sawa na Azam alivyokopa Standard Chartered kwenye mradi wa Bagamoyo Sugar