Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Wengine tozo zetu, mikopo, wizi unaotangazwa kila mwaka na CAG na kufanya biashara pia.
 
Samsa Logistics wana lori nyingi, nani mwenye hii kampuni maana wanagari nyingi pia, vile vile hata hawa wanyarwanda wanazidi kwa gari nyingi sana za mizigo. Lori zenye RL.....ni za kutosha.
Kwa Buses Kanda ya ziwa kwenda Dar Ally's ana fujo na road, bila kumsahau SATCO na happy nation.
Satco nadhani ni mdogo wa Shabiby, magari mengi yanatoka yanaenda Satco tena yanakua katika hali nzuri kabisa
 
Sasa unachokataa ni nini sasa na nimesema watu wanavitega uchumi vingine kama ng'ombe na mashamba. Acha ubishi.
Kwa taarifa yako hizo biashara niko nazo nazijua

Ulisha wahi kuiona Billion 15 wewe? Unadhani inajikusanya kama kufungua maji kwenye Bomba? We ungekuja na swaga za comment za mikopo bank labda ningekuelewa.
 
Kuna mmiliki mmoja wa mabus tulikutana nikawa namuuliza chanzo Cha yeye kuwa tajiri (bilionea ) aliniambia alikuwa anafanya biashara ya mazao ndo akapata mtaji ila tulipo zoeana aliniambia ukitaka kuwa tajiri kuwa "MWIZI" tena usiibiwe wananchi utauliwa ibia serekali maana yete analetaga bus 10+ kwenye kila bus anaweka vipuri vyenye saman ya hilo bus tena alafu analipa Kodi kidogo kwenye bus vipuri vinaputa free
Eshter ndio mwenye hii tabia kwenye bus zake mpya lazima ukute vipuri vya izo bus vimejaza kwenye buti
 
Kwa taarifa yako hizo biashara niko nazo nazijua

Ulisha wahi kuiona Billion 15 wewe? Unadhani inajikisanya kama kufungua maji kwenye Bomba? We ungekuja na swaga za comment za mikopo bank labda ningekuelewa.
Basi mafisadi ndiyo mpango mzima, maana mikopo sio rahisi kiivo.
 
Zwazwa ni we we usijua kwamba zipo, tunaishi na tajiri wa kinyatunzu kunasiku mwaka juzi walisahau kufunga chumba anachofugia joka lake linalompa utajiri, Bonge la joka likatoka likaingia mtaani watu wakataka kuliua alipopata taarifa alipiga Sim polisi wakaja kuzuia lisiuawe naye akaja akaanza kulipigia makofi na miluzi joka likamfuata akalibeba akaliingiza kwenye cruiser lake akalipeleka nyumbani, aliwaambia watu mnashangaa nn? Hawajawahi Ku on a nyoka? Kuna tajiri mwingine Ana MTO to tahira kina Siku alitoroka akapotea ilibidi atangaze dau la lakitano kwa atakaye muona chapu tu ndani ya nusu saa wahuni wakamleta wakala pesa toka siku hyo nyumbni kwake ndani ya fence kuna gate zingine tatu just in case get I moja likisahaulika mengine yawe yamefungwa manake huyo dogo ndagu inayompa pesa na anazo kwerikweri

Mbn kama mwan wa ig,[emoji28] au nakosea mkuu?!
 
Kuna mtu huko juu kasema tulime parachi za mil 5 kisha tununue viwanja, tuuze! Ee bwana hizo ishu tushafanya. Kama miti tushapanda tunaishia kujenga mabanda tu na tunaambulia hela ya kunywea safari kubwa tu hata harier hatununui.
 
Back
Top Bottom