Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Hutoa serikalini na kwenye mabank
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Waliofanya kazi..
Wengine hapo kabla wewe kuzaliwa wapo road wanazichanga....
 
Yani hill swali kila siku nikipita hapa maeneo ya Shekilango huwa najiuliza nakosa jibu. Jana nimeona Haya mabasi ya BM kama 20 hivi-hawa watu walifanya kitu gani hadi wakapata hizo hela.
Ni kazi tu...nidhamu..uaminifu...
Wengine nawafahamu wameanzia kwenye sifuri
 
Kuna mtu namfahamu Ana Shimo pale mererani, shimo lake lina uwezo wa kutema vyombo kila mwezi, makinikia ndio usiseme.

Huyu akisema anakopa Ana uwezo wa kukopa kununua hayo mabus yote uloyataja na chenchi ikabaki.

Kuna watu wanamiliki Assets ambazo ndio maisha yao, Nyingi zisizoonekana.

Mabus na Malori ni vinyongeza tu...
Mirerani ilikuwa zamani sasa hivi kawaida sana....kutoka madini nikama kuvizia...tu
Unaweza kukaa pale miezi kadhaa hujasikia hata shimo moja limetoa mawe ya kueleweka
 
Ukiongea nao wanakwambia biashara ya mabasi kichaa but kila mwaka wanaongeza bus 20, 10 nk. Na eti wastani wa basi moja kurudisha gharama ni ni kati ya miaka miwili kwa yutong.
Yutong na michina mingine kurudisha gharama ni mwaka mmoja tu.
 
Kama yule Mbunge wa Makambako nasikia ana Malori kama 300 hivi
Kwa mtu km huyu anaweza as long as una nizamu ya hela,mshahara wake bungeni ndio mtaji plus kilimo mchawi nikupata gari la kwanza the rest inakua story trust me inawezekana ndio maana watu hata kustaafu hawataki kule kuna hela
 
Back
Top Bottom