Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Chanzo chake mkuu hujaelewa.

Unafikiri kumiliki mgodi Ni shughuli ya kitoto, Tena Mirerani.

Tatizo mnazungumzia matokeo. Hayo unayoyaona Ni matokeo ya Siri na chanzo cha fedha usichokijua.

Kwasababu huyo mtu hakutoka tu nyumbani asubuhi akapanda gari akaenda Mererani akaanza kumiliki mgodi.
💯💯💯💯
 
Mkuu hii issue mbona simple tu sio rocket science iko hivi mkono mtupu haulambwi wewe piga Mishe zako umake around 400M then approach bank kama equity wanatoaga mikopo ya mabus . We utachangia 40% percent ,60% percent watakuchangia wao kwahyo kama bus linacost around 300M we utalipia 120M the rest watacover wao so kwa hesabu ya haraka haraka hukosi bus zako 3 hapo uzuri Mkopo unakuwa insured kadi inabaki benki mpaka umalize rejesho meanwhile tayari na wewe unakuwa unazungumziwa HIVI PUNDE BUS SERVICES kashusha yutong mpya 3 (kwenye kupata hicho kianzio ndio tusiulizane sasa kama unaweza kuingia kuchimba dhahabu ni wewe, kama unaingia ziwani kuvua samaki ni wewe, kama unauza shamba LA urithi ni wewe) NB MKONO MTUPU HAULAMBWI
 
Duuh! Nimeamin kweli dunia nikama daladala..yan dereva hajali aliepanda kama nimzima au kichaa..muhimu sana awe nayo nahuri.
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
 
Zwazwa ni we we usijua kwamba zipo, tunaishi na tajiri wa kinyatunzu kunasiku mwaka juzi walisahau kufunga chumba anachofugia joka lake linalompa utajiri, Bonge la joka likatoka likaingia mtaani watu wakataka kuliua alipopata taarifa alipiga Sim polisi wakaja kuzuia lisiuawe naye akaja akaanza kulipigia makofi na miluzi joka likamfuata akalibeba akaliingiza kwenye cruiser lake akalipeleka nyumbani, aliwaambia watu mnashangaa nn? Hawajawahi Ku on a nyoka? Kuna tajiri mwingine Ana MTO to tahira kina Siku alitoroka akapotea ilibidi atangaze dau la lakitano kwa atakaye muona chapu tu ndani ya nusu saa wahuni wakamleta wakala pesa toka siku hyo nyumbni kwake ndani ya fence kuna gate zingine tatu just in case get I moja likisahaulika mengine yawe yamefungwa manake huyo dogo ndagu inayompa pesa na anazo kwerikweri
😂Mkuu bana, ngoja tukwambie, hayo majoka huwa sio ya pesa kama mnavoamini bali ni ulinzi tu wa kichawi

kila tajiri katumia akili pamoja na njia hizi wanazotaja wadau mfano mikopo ya Bank, sasa akishakuwa tajiri kuna watu watamroga so anaenda kwa mfanga ndio anapewa joka au masharti ya dawa ya kujilinda
 
Hiyo n mil 119 kwa mwaka kwa bus moja , sawa na milion 9.9 kwa mwez kwa bus moja ,sawa na lak 330.7 kwa siku kwa bus moja , ni hesabu sahihi kabisa tena kiwango cha chini mno

Hesabu za memkwa, bus ya dar mwanza ilingane mapato ya siku na bus ya dar moshi?? Route lazma ztofautiane mkuu
 
Simple tu kuna tajiri mmoja kule tanga ana ma bus mengi sana ila mtoto wako kichaaa yaani chizi na kila mtu anamjua akipita watu wanamuangalia kinoma nasikia akikasirika gari inapata ajali hvyo ana mtu maalum wa kumuangalia matajiri wengi ndio michezo yao hyo.
 
Hesabu za memkwa, bus ya dar mwanza ilingane mapato ya siku na bus ya dar moshi?? Route lazma ztofautiane mkuu
Tatizo lako unavamia tu hujui mada ilitokea wapi

Hapo ilikua imewekwa mezan hesabu ya bilion 5 kama faida kwa bus 42

Tatizo mnazaliwa na wazazi wakiwa walevi mnatoka walevi hvyo hivyo , kilicho tafutwa hapo ni wastan tu , zipo zinazoingiza zaid zipo zinazoingiza kidogo , mwisho wa siku inapatikana wastani
 
Tatizo lako unavamia tu hujui mada ilitokea wapi

Hapo ilikua imewekwa mezan hesabu ya bilion 5 kama faida kwa bus 42

Tatizo mnazaliwa na wazazi wakiwa walevi mnatoka walevi hvyo hivyo , kilicho tafutwa hapo ni wastan tu , zipo zinazoingiza zaid zipo zinazoingiza kidogo , mwisho wa siku inapatikana wastani

Hizo bus tu huna, hata hesabu zake tu znakushnda
Anyway wazaz wang sio walevi kama wako
 
Back
Top Bottom