Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Wamiliki wa Mabasi na mafuso hutoa wapi hela?

Una comprehension disorder and it shows.

Huko bank unakopa bila dhamana? Dhamana yako ni nini na unaipataje au unaokota hiyo dhamana?

Mtu mwenye genge la nyanya za buku anaweza kwenda bank kukopa 300M?

Swali ni wanawezaje kufika to that point ya kukuposheka hela nyingi? Sijui mlienda shuleni kusoma ujinga.
..mpumbavu sana ni wewe unayemlinganisha muuza nyanya wa genge la elfu 10 na capital ya mil 300....ofcourse kila mtu anajua huwezi kukopa bila kuwa na dhamana ...ni mpumbavu tu kama wewe anayefikiri unaweza kuamka asubuhi ukakopa mil. 300 ...kabla ya kufikiri kukopa mil. 300...kuwa kwanza na uwezo wa kumudu basic needs .ambazo wewe bado ni changamoto kwako ...watanzania mmezoea short cuts....ndio maana huna kitu lakini unataka uwe milionea overnight....watu kama wewe ndio mnaishia kuwa wachawi ili mtajirike....
 
🤣 🤣 🤣 ukoo wenu wote can't touch me let that sink in. Majibu yako yote ni leveraging and everybody knows that wakati swali la mleta uzi ni unapataje initial capital kabla ya ku-scale up your business by leveraging your assets. Kifupi umejibu pumba sio ulichoulizwa, hujamsaidia mleta uzi. Mimi nakurekebisha kwa manufaa ya mleta uzi. Una comprehension/mental disorder and it shows 🤣🤣🤣
 
Kaka.. weng wao 90 wanapata pesa nying hzo kwenye chains za wezi wa pesa za serikal unazoskia CAG kila siku anatolea maelezo... Mim nna ndugu yangu ndo michongo yake hyo.. na ana 28 yrs tu ana malori kama 6 hiv.. viwanja sinza kinondon. Kama vi3.. ana magar binafsi kama 6 hiv.. mtoto mdogo tu... Akiienda kidimbwi ana mil15 kwenye gar.. na ana kundi lake hilo ni chain ya watoto wa vigogo tupu.. so it is what it is.
Chain n muhimu lakn hua n vitu vya muda , kama akili huna utapoteza kila kitu , nafaham mmoja enz za JK , mpaka unajuliza huyu mtu pesa anapata wapi , mwaka mmoja baada ya jk kustaafu karud kijiwen pesa yote kwisha
 
..mpumbavu sana ni wewe unayemlinganisha muuza nyanya wa genge la elfu 10 na capital ya mil 300....ofcourse kila mtu anajua huwezi kukopa bila kuwa na dhamana ...ni mpumbavu tu kama wewe anayefikiri unaweza kuamka asubuhi ukakopa mil. 300 ...kabla ya kufikiri kukopa mil. 300...kuwa kwanza na uwezo wa kumudu basic needs .ambazo wewe bado ni changamoto kwako ...watanzania mmezoea short cuts....ndio maana huna kitu lakini unataka uwe milionea overnight....watu kama wewe ndio mnaishia kuwa wachawi ili mtajirike....
Pamoja na yote ila umezingua , swali la jamaa ni swali sahihi na linajitaj majibu , bado halijajibiwa
 
Imagine, kuna haya mabasi

Ester Luxury
Tilisho
Happy Nation
Sauli
New Force
Arusha Express
Shabiby
Abood
Machame Express
Kapricon
Kilimanjaro Express
Dar Express
Zube
Saratoga
Mgamba
Kimbinyiko
Abc
Ally's
Saibaba
etc etc

Malori ndiyo usiseme.

Unakuta mtu ana basi 10, 20 au 60. Basi moja bei yake ni Milion 300, 400 hadi 500. Jamaa wanapata wapi hela aisee?
Hao wote ni wakulima nenda shambani
 
Hakuna wizi wala uchawi, Bank zinahusika hapo, Mabenk mengi yana pesa na yanahitaji wakopaji, watu mnalilia tuu uchawi, lakini usiende Bank kama hata kampuni huna maana hakuna mtu atapoteza muda na wewe, anza kidogo onyesha satements zako na documents za kibiashara na kodi unayolipa, cha maana anzisha kampuni onyesha cash flow zako, taxes etc kitu ambacho ni rahisi sana, ukienda bank watakuwa more than happy kuongea na wewe ili wakupe mkopo.

Tatizo weng wavivu hamtaki kufanya kazi na kufuata sheria ili muonekane wafanyabiashara wa kweli, hata eka 5 za mahindi na kampuni na ukionyesha ulichouza kihalali bank watakupa mkopo mkubwa tuu, usitake mkopo wa milioni 300 wakati huna hata kampuni ya biashara inayoingiza kipato, bank hawatazungumza na wewe
Fact
 
Unajua uwezo wa wazazi wangu? Na ni lazima wazazi wawape watoto mashamba? Kwahiyo kuwataja inamaanisha wazazi wangu ni wazembe? Hao ni watu nawajua na ndo njia walizotumia tukiwaona. Haimaanishi ni lazima wazazi wanipe mashamba na mimi niwekeze kwenye mabus, Wakinipa kampuni/miradi je?

Huu ndo ubaya wa JF unaweza kuta unabishana na mpangaji wako na unamdai kodi.
Walaumu wazazi wako, usiwaseme wazazi wa wengine
 
Uko sahihi kabisa. Kuna watu kwakweli hupati shida kuzielezea hela zake, grassroot yake jamii inaijua.

Kuna Hawa machalii unaamka asubuhi Mara paaaap coaster 4 Mara Yutong 5,Mara kumi , ishirini. Haijulikana hela zimeanzia wapi.

Kuna mtu kataja hela za majini. Zipo na nyingi hasa. Mtu unapeleka milioni kumi Hadi mchakato inakamilika umabeba Hadi bilioni 4.

Zipo, naongea kwa kujiamini. Kuishi Ni kuona mengi. Tembea uone.
Kwamba kuna majini yanatoa pesa?
 
Sio lazima uwe na ardhi kariakoo.... tafuta milion 5 kanunue shamba huko ndani ndani lima mkonge au parachichi au pamba au kahawa au nazi. Then tumia hyo ardhi kupata mikopo ya pesa ndogo ndogo ambazo utazizalisha mpaka uweze kununua gari au uweze kununua ardhi yenye thaman ya milion 500....... Kidogo kidogo utakua kama BM Coach
We usidanganye wenzako
 
Kuna mmiliki mmoja wa mabus tulikutana nikawa namuuliza chanzo Cha yeye kuwa tajiri (bilionea ) aliniambia alikuwa anafanya biashara ya mazao ndo akapata mtaji ila tulipo zoeana aliniambia ukitaka kuwa tajiri kuwa "MWIZI" tena usiibiwe wananchi utauliwa ibia serekali maana yete analetaga bus 10+ kwenye kila bus anaweka vipuri vyenye saman ya hilo bus tena alafu analipa Kodi kidogo kwenye bus vipuri vinaputa free
Usidanganye watu wewe
 
Pamoja na yote ila umezingua , swali la jamaa ni swali sahihi na linajitaj majibu , bado halijajibiwa

Labda wewe atakuelewa mkuu, jamaa ana comprehension disorder hajaelewa swali na Mimi haelewi nachomuelekeza. Kila mtu anaelewa leveraging mleta Uzi anataka chanzo Cha the initial capital.
 
Pesa za majini zipo. Niko apa Nmekaa. Huwezi kujua kila kitu.

Achana na pesa wewe. Wewe ndio una mawazo ya kifukara kuamini hizo fedha za aina hiyo hazipo.

Nenda kalime matembele na mihogo. Upate hela ununue Marco Polo 50 km Dar Exoress anazomiliki.

Kuna watu Wana Imani za kishirikina kama maskini? Kwanini wanaendelea kuwa maskini au ushirikina wao ni story za kusadikika za kwenda kukaba watu usiku tu?

Kuamini Kuna utajiri wa kishirikina ni uzwazwa wa kiwango cha PhD
 
Back
Top Bottom