Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

Apo mwanamke alikuwa hana namna zaid ya kufunga ndoa tu amekubali kutokana na pressure ya ndugu apo akili ikikaa Sawa baada ya miez sita vitimbwi vitaanza
 
Apo mwanamke alikuwa hana namna zaid ya kufunga ndoa tu amekubali kutokana na pressure ya ndugu apo akili ikikaa Sawa baada ya miez sita vitimbwi vitaanza
Yaan vitimbwi vianze kwa sababu mwenzake kakatwa mguu?
 
Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao.

Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu vya mguu wake wa kushoto.

Licha ya maumivu makali aliyokuwa nayo waliamua kuendelea na ratiba yao ya ndoa ambayo waliifungia ndani ya wodi baada ya Mchungaji kufika na baadhi ya Waumini na kuendelea na taratibu za ndoa,
full video ya habari hii ipo kwenye Youtube ya millardayo.
Kwa sisi waislam ndoa haipati baraka mpaka kijiti kizame ndani ya mhusika. Sijui kwenu nyinyi inakuaje.
 
Back
Top Bottom