Umefika wakati sasa waafrika kurejea kwenye asili zetu na kuchana na mabaki ya ukoloni, majina na dini

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habari WAAFRIKA,

Nimechukua nafasi hii kuwaomba WAAFRIKA wale wote wenye uelewa na nafasi warejee kwenye ASILI YETU kupitia TAMADUNI i.e:dini, majina, michezo, nk kwani ni wazi wenye uelewa wote wanatambua kuwa taratibu za MAISHA yetu yalibadilishwa na uongo wa wakoloni waliokuja kutafuta mali hivyo kuwalaghai WAZEE WETU kuachana na maisha yao na kufuata taratibu za wakoloni pasipokufahamu kuwa wanategwa.

Sasa kama kuna WAAFRIKA wanajidai wamesoma sana basi waelewew SIYO WASOMI kwani wamesoma elimu za kikoloni na siyo elimu ya KIAFRIKA.

MSOMI wa kweli duniani ni yule anayesoma elimu yake kwanza na kubobea halafu ndipo anatoka nje kulinganisha na kupima elimu yake.

Huwezi kujigamba kuwa umesoma na kubobea kwenye HISTORIA YA UINGEREZA na kuiamini huku ukiitupa mkono HISTORIA YA AFRIKA yenye uhalisia wa maisha ya kizazi chako.

Mtu unadiriki kufia majina ya kizungu na kiarabu pamoja na mila na yamaduni za dini za kiislam na kizungu huku mkijigamba kwa majina ya kizungu na kiarabu i.e. John, Julius, Abdala, Aziz, nk huku mkiacha majina yenye maana nzuri tu za KIAFRIKA.

WAAFRIKA wanadiriki hata kubadili majina ya watoto, miji, mitaa, maziwa, hotel, biashara, nk majina ya kizungu na kiarabu huo ni UFARA.

WAAFRIKA ambao ni zao la WATUMWA waliouzwa ulaya i.e: "DIASPOORAs" kwasasa wanatamani kurudi kwao na katika historia yao lakini WAAFRIKA waliobaki AFRIKA hawataki kurudi kwenye ASILI yao kwa sababu ya tongotongo walizoachiwa na WAKOLONI

MWISHO ni ujinga mkubwa sana kwa kiongozi au mwanaharakati wa ALFRIKA i.e: wanasisa kujigamba kuwa atawaboreshea WAAFRIKA maisha yao wakati yeye mwenyewe ameshindwa hata kubadili JINA na DINI ili kurejea katika uasili wake na kubaki kuwa VIBARAKA WA WAKOLONI NA WEZI WAKUBWA KWANI HAWAWATHAMINI WAAFRIKA WENZAO BALI WAKOLONI.
View attachment 2828276
 
Ni mawazo mazuri.
Ila hayatekelezeki...hao wakoloni ndio wametengeneza hiyo simu unayotumia na huu 'uchawi' unaowezesha tuwasiliane bila kuonana.
Kuwakwepa ni ngumu!
 
Bunadamu woooote duniani tunategemeana kwa mazuri au mabaya ya kila upande mmoja.

Hivi wachina,wakorea,wahindi,wajapan,nk wanaotumia majina yao na dini zao wamewezaje kuwakwepa hao wakoloni na wewe MWAFRIKA ushindwe?

Mtu mwenye mawazo kama wewe ni MWAFRIKA MFU ANAYETEMBEA simu siyo kigezo cha wewe kuwa muislam au mkristo wala kuitwa john au asha bwana huo ni ujinga kabisa na unapaswa kuukemea mara moja.

Hadi sasa kuna maeneo dunia hawaijui simu lakini wanaishi kwa ujinga huohuo ulionao.

Je umewahi kujiuliza WAAFRIKA wa mwanzo waliishi vipi bila SIMU?

Je umewahi jiuliza iwapo kweli yesu au mohamed wawaliwakomboa WAAFRIKA na kivipi iwapo hata huko kwao DHAMBI bado zipo yaani waache kuwapigania wazungu na waarabu waende mbinguni wakupiganie wewe MWAFRIKA usiye na thamani kwao uende mbinguni kama kweli kupo?

Umewahi kujiuliza kwanini wanasiasa wa KIAFRIKA wanaodai WAMESOMA na WALITUKOMBOA lakini wameshindwa kujikomboa wao wenyewe kwa kuendelea kutumia majina,katiba,biblia,sheria,msahafu,elimu,nk vya kikoloni?

Simu siyo kigezo kabisa cha kutorejea au kutofuata ASILI YA KIAFRIKA,

BADILIKA MWAFRIKA KWA KUSOMA HII HAPA CHINI NA NITAKUWEKEA MAWAZO YA WAAFRIKA MBALIMBALI WALIOKWISHA JITAMBUA WAKITEMBEA WAKIWA HAI NA SIYO WAFU KAMA WEWE KIFRA!!!

ASANTE
View attachment 2828401
 
Unadhani mwafrika wewe ukisimama na mgindi au mchina katika hoja za DINI na UTAMADUNI/MILA nani ataonekana hayuko sahihi na ni mtumwa?
 
Habari WAAFRIKA,

Nimechukua nafasi hii kuwaomba WAAFRIKA wale wote wenye uelewa na nafasi warejee kwenye ASILI YETU kupitia TAMADUNI i.e:dini,majina,michezo,nk kwani ni wazi wenye uelewa wote wanatambua kuwa taratibu za MAISHA yetu yalibadilishwa na uongo wa wakoloni waliokuja kutafuta mali hivyo kuwalaghai WAZEE WETU kuachana na maisha yao na kufuata taratibu za wakoloni pasipokufahamu kuwa wanategwa.

Sasa kama kuna WAAFRIKA wanajidai wamesoma sana basi waelewew SIYO WASOMI kwani wamesoma elimu za kikoloni na siyo elimu ya KIAFRIKA.

MSOMI wa kweli duniani ni yule anayesoma elimu yake kwanza na kubobea halafu ndipo anatoka nje kulinganisha na kupima elimu yake.

Huwezi kujigamba kuwa umesoma na kubobea kwenye HISTORIA YA UINGEREZA na kuiamini huku ukiitupa mkono HISTORIA YA AFRIKA yenye uhalisia wa maisha ya kizazi chako.

Mtu unadiriki kufia majina ya kizungu na kiarabu pamoja na mila na yamaduni za dini za kiislam na kizungu huku mkijigamba kwa majina ya kizungu na kiarabu i.e.john,julius,abdala,aziz,nk huku mkiacha majina yenye maana nzuri tu za KIAFRIKA.

WAAFRIKA wanadiriki hata kubadili majina ya watoto, miji,mitaa,maziwa,hotel,biashara,nk majina ya kizungu na kiarabu huo ni UFARA.

WAAFRIKA ambao ni zao la WATUMWA waliouzwa ulaya i.e: "DIASPOORAs" kwasasa wanatamani kurudi kwao na katika historia yao lakini WAAFRIKA waliobaki AFRIKA hawataki kurudi kwenye ASILI yao kwa sababu ya tongotongo walizoachiwa na WAKOLONI

MWISHO ni ujinga mkubwa sana kwa kiongozi au mwanaharakati wa ALFRIKA i.e: wanasisa kujigamba kuwa atawaboreshea WAAFRIKA maisha yao wakati yeye mwenyewe ameshindwa hata kubadili JINA na DINI ili kurejea katika uasili wake na kubaki kuwa VIBARAKA WA WAKOLONI NA WEZI WAKUBWA KWANI HAWAWATHAMINI WAAFRIKA WENZAO BALI WAKOLONI.
View attachment 2828276

Jambo jema ila maamuzi magumu sana yanapaswa yaanzie njuuu na chini.

Mana jamii ilishaharibiwa fikra.
 
Wagalatia na Wavaa kobazi kindakindaki watakuelewa kweli?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom