Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

Hiyo habari ni toka zama za bwana Trump alivyoanza ubaguzi kwa weusi,habari ya miaka mingi umeileta tena.
 
Hiyo habari ni toka zama za bwana Trump alivyoanza ubaguzi kwa weusi,habari ya miaka mingi umeileta tena.
Ok ila ukifuata hiyo link hiyo habari imekua posted jana 5th March,2022.

Unlesss nayo hiyo jana ni miaka mingi.
 
Ndio uwekezaji wenyewe huo mkuu.

Wamefungua saluni pale mbezi beach na kituo cha kulea watoto wadogo.

Tanzania inapaa kimataifa.
Yaani hao ni viazi,wanakuja kuwekeza saloon za buku 2,vituo vya kulea watoto vipo toka nyerere kifupi hawana jipya..wangeleta maujuzi ya kisayansi,sanaa,biashara,michezo na teknolojia wangefungua vituo vya elimu ya vitu nilivyotaja mwanzo tungewapokea vizuri.
 
Basi mkuu tuwasamehe maana wametupenda bure.
 
Wengi wanawake! Hapo Hakuna kikubwa Cha ku gain. Hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiwazuia wanaume kukimbia nchi yao, na kuwataka wabaki wapiganie nchi yao. Umeona imezuia wanawake? Hao Ni watu wakati wa amani, zaidi ya hapo no.

60-75% ya hao wanawake wanapata shuda kuanzisha familia yenye mahusiano thabiti kule….
 
Back
Top Bottom