nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,923
- 1,325
goba ndio wapiinaumiza sana. Tuungane pamoja kuwaondoa wezi hawa. Tafuta pesa nenda goba utapata mkuu.
goba ndio wapiinaumiza sana. Tuungane pamoja kuwaondoa wezi hawa. Tafuta pesa nenda goba utapata mkuu.
Nenda ''google'' ndo utamjuaNaomba kuuliza wajamen,alfani kikwete ni nan na ana mchango gani ktk maendeleo ya tz?
Pumbaaaaa
Pumbaaaaa
Mijitu kama hili unakuta imejaa matope kichwani
Barubaru,Kwa vile Tanzania inaongozwa na Utawala wa Sheria, basi nyie mliokosa viwanja mna haki kamili ya kukata Ruffaaa na kujua ni kigezo gani kilitumika katika kugawa viwanja hivyo.
Na msiporidhika na hapo mna haki kamili ya kwenda mahakamani na kusimamisha zoezi lenyewe mpaka suala lenu litakapopatiwa ufumbuzi.
Pole sana ila tumia haki yako kisheria na kikatiba
khaaah!yani huyo m.s.e.n.g.e anamilik ardhi arusha?Hata mimi yalinikuta mwaka jana hapa kwetu Arusha kuhusiana na vile viwanja vya Burka, majina ya mwanzo yaliopewa kipaumbele japokua na mimi pia nilichukua form kama 5 lakini jina la mwanzo lilikua ni la Riziwani Kikwete! Kweli kifo cha wengi ni harusi!
Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....
Kaka pole sana,tuzidi kumbambana kwa ajiri ya kuwatoa madarakani hawa CCM mana watoto wao ndiyo huwa wanafaidi, mali za wananchi maskini watanzania.