Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
wakifuata taratibu na sheria ndio watapata? nakumbuka viwanja vya burka estate vilivyotangazwa 'A' town na watu mamia kwa mamia wakalipia form na kuzirudisha, kaulize nani kapata katika watu wote walioomba. sina uhakuka kama utawapata watu 5 wenyeji, labda wawe viongozi, sana sana utasikia viwanja vyote vimekwenda kwa hao hao wenye nchi.
kinachonishangaza ni kuwa, watazikwa na mali zote hizo, au wamepatwa tu na kichaa cha kujirundikia mali!
kinachonishangaza ni kuwa, watazikwa na mali zote hizo, au wamepatwa tu na kichaa cha kujirundikia mali!