Nini kifanyike dhidi ya Utunzaji wa Viwanja vya mpira nchini?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Mpira siku hizi ni ajira kama ajira nyingine zenye kulipa fedha ndefu tu sio ajabu mchezaji anayecheza dk 90 analipwa fedha ndefu kuliko Daktari,Mwl au Nurse wanaokaa na wateja wao zaidi ya masaa 12.

Mpira unahitaji uwekezaji mkubwa hasa kwenye miundombinu kama vile viwanja vizuri navya kisasa.

Nchi yetu imebarikiwa atleast kuwa na viwanja vyenye unafuu kidogo angalau kila mkoa unakiwanja cha mpira. Azam amejitaidi sana kuboresha matangazo yake ya urushaji wa mpira japo bado kuna changamoto kwenye viwanja hasa maeneo ya kuchezea.

Kumbe basi nini sababu ya viwanja vyetu kupoteza ubora wake mapema na suluhisho lake,

Kwa Utafiti wangu mdogo nimegundua haya.

1. Viwanja kutumika kwa muda mrefu bila matengenezo.
Nlikua kiwanja kimoja yale maeneo ya kukaa wachezaji kwa juu hakuna paa na karibia mwaka wa 5 sasa unajiuliza je wahusika hawalioni hilo, kipindi cha mvua au jua sio salama kwa benchi la ufundi hasa kipindi cha jua kali huwapelekea wachezaji kuwa dehydrated kwa kupoteza maji.

2. Kukosa nidhamu na maeneo ya kuchezea/Pitch.
Hili nalo ni tatizo kubwa nimeshuhudia uwanja mmoja unafunguliwa from Monday to Sunday lile eneo la kuchezea kila mtu anajipitia tu kama njia ya ngombe, hakuna kumwagilia tushukuru kwa hizi mvua kwa sasa.
Suluhisho hapa watu wasiohusika wasiruhusiwe kusogelea maeneo ya pitch kabisa.

3.Timu husika kukosa maeneo ya kufanyia mazoezi.
Hapa napo pagumu yani huku mikoani unakuta timu husika ya mkoa kama ipo ligi kuu yani uwanja unaotegemewa kuchezea mechi ndio uwanja wao wa mazoezi yani session zote za mazoezi wanatumia kiwanja husika hapo lazima uwanja uchoke.
Mfano unakuta Prison uwanja wao wa mazoezi ni Sokoine wakati ndio huo huo uwanja utatumika kwa ajili ya mechi.

Hapa suluhisho ni kila timu kuwa na kiwanja chake cha mazoezi mfano Yanga Avic, Simba Mo na uwanja husika utumike siku ya gemu tu.

4. Wamiliki wa viwanja kukosa chombo cha kusimamia viwanja vyao.
Ukitoa viwanja vichache vya serikali na timu binafsi asilimia kubwa ya viwanja vilivyobaki nivya Ccm, kumbe basi inatakiwa ndani ya Ccm kuwe na Chombo maalumu ya kusimamia viwanja hivi na vitengewe fungu la kutosha jiulize kuna mapato ya viwanja je huwa yanaenda wapi.
Ccm itengeneze Chombo cha kusimamia hivi viwanja kitakacbofanya kazi kwa Ukaribu sana na Tff.

5. Matamasha kufanyika kwenye viwanja vya michezo.
Wengi ni mashahidi kuna msimu uwanja wa Sokoine Nyasi zilikwisha zote baada ya tamasha flani kufanyika pale pia pale Lupaso kulikua na gemu ya Burundi Vs T/stars uwanja ulikua kipara kabisa.

Kumbe basi haya matamasha yasiwe yakifanyika kwenye viwanja vya mipira au yakifanyika pitch iwe ikifunikwa kama wanavyofanya wenzetu wazungu.

Roma ikisema imesema.
 
Tunashindwa hata kutunza ukoka viwanjani halafu tunataka kuwa na maendeleo, kwenye sekta gani?
 
Viwanja vyote vya mpira hapa nchini ambavyo vjnadaiwa kuwa ni vya CCM vitwaliwe na Serikali na viwe mali ya Serikali kwa sababu Ccm siyo Chama cha Mpira, Bali ilivipora viwanja hivyo kutoka kwa Wananchi.
Aidha, Serikali iunde Mamlaka Maalumu ya Kusimamia viwanja hivyo.
 
Asante kwa Bandiko lenye uchambuzi ndani yake Mkuu.

WAHUSIKA WAMEKUSIKIA, TEGEMEA MABADILIKO KUANZIA SASA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom