Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole

Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....

Wewe nadhani ni mmojawapo wa wakubwa waliopata kiwanja, unapopinga issue fulani lazima uwe na logic kama great thinker, sio kukurupuka tuuu, kuwa mstaarabu. Hivi ingekuwa na wewe ni mmoja kati ya walioomba hivyo viwanja na ukakosa ungeongea hivyo kweli?
 
Pumbaaaaa

Tunajua mpo kazini kutetea ugali wenu, ila muwe makini mnapojaribu kupindisha hoja maana hapa wewe ndo umeonekana pumba!! Ujazo wa ufikiri wako umeonesha kuwa haujai hata 'kisoda'! Nakukumbusha kwa manufaa yako kuwa humu umo kwenye JAMII FORUM-THE HOME OF GREAT THINKERS!!! Wakati mwingine uwe mwangalifu na hoja zako mkuu!!
 
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
 
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.

Oyaa! Wewe ndiyo yule Mmanga omr wa DHB?
 
Form nane zote za nini? Hiyo ni cheating pia. Labda waligundua wakakupiga chini.
 
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.

Hivi inawezekana mtu akaomba kuuziwa kiwanja kwa bei ya shiringi Milioni sita(6,000,000) alafu mtu huyo huyo ashindwe kujenga hata banda la kuku? Inaniuma sana kwasababu humu Jf kuna watu mmeamua kuvuruga kila hoja inayoletwa, ilimradi tu inayo wahusu watu walio waajiri kufanya hivyo
 
Nami najiuliza huyu mtoto miliioni 6 kapata wapi?

JK+Dar+2.jpg
 
Hiyo ni miradi ya watu, Pole mkuu, tusubiri tutavinunua kwa wenzetu waliobahatika kwa 15m muda si mrefu toka sasa.
 
HTML:
  By Omr  
 Basi  wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la  kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema  hii topic ni PUMBAAAA.

Mwenzetu naona uko hapa kutetea maslahi ya wachache, hivi kama hako katoto kamenunua kiwanja, sie tunajiuliza, kweli wazazi wake hawajatosheka na rasilimali walizonazo?
Kwani kuna ubaya gani kwa wananchi kuhoji kwa wakubwa kujilimbikilizia mali? Tumeona yaliotokoea Misri, Tunisia na kwa sasa Libya, huu ulafi wa mali mara nyingi huwa unaleta maafa baadae, sio leo wala kesho, ila kuna siku walalahoi watasema INATOSHA!
Sijui mwenzetu utaenda kuomba hifadhi pale IKULU?
 
Habari za asubuhi wana Jamvi, mimi ni mmoja kati ya watu walio omba kuuziwa viwanja vya mradi wa Gezaulole Kigamboni, nilichukua form nane moja ya kwangu nyingine ya mke wangu na hizi zingine za wadogo wangu ambao ni watu wazima na hawana makazi, niliamini tutapata japo viwanja viwili vitatu. Lakini cha ajabu orodha imebandikwa rasmi kinyemela pale Manispaa ya Temeke ikionyesha watu wanao stahili kuuziwa hivyo viwanja, sisi hatuja bahatika hata kiwanja kimoja. Kwa haraka haraka nimegundua ili kupata hivyo viwanja inabidi uwe na bahati sana au uwe na jina kubwa kama ambavyo yanasomeka pale Temeke. Baadhi ya watu waliobahatika kupata hivyo viwanja ni.

1.Khalfani Kikwete amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
2.H. Ghasia amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
3.M. Mwandosya amepata haki ya kuuziwa kiwanja ila hawaja-specify aina ya kiwanja anachotaka.

Hawa ni watu wachache tu kati ya orodha ndefu ambayo kutokana na moyo wangu kuumizwa sana sikuendelea kuisoma.

Inaniuma sana kati ya form nane hakuna mwenye sifa za kuuziwa kiwanja na serikali? kwasababu tuliambiwa kiwanja kimoja tutashindanishwa watu watatu. Na kama ushindani ulikuwa mkubwa inakuwaje mtu amepata kuuziwa kiwanja ambacho bado specifications zake zinafanyiwa kazi?

Source: Ubao wa matangazo manispaa ya Temeke

Kaka mimi nimeamua kwenda Tundwi Songani - km kama 20 toka hapo GEZA au Km kama 15 mbele ya Dar Zuu. umaskini ndugu yangu, viwanja vya mjini upewe wewe, wenyewe je?

Sasa naomba mungu tu wasije nifuata ha huko hapo watakuwa wamenimaliza kabisa. Mwenye nacho lazima ataongezewa hata maandiko matakatifu yametamka bayana, so mkuu roho isikuume sana hakuna atakayebeba viwanja na majumba siku ya mazishi yake kaburini.

Cha msingi ni kufunga suluari mkanda, kaza buti na kusonga mbele. ingawa dalili za mafaniko ni kidogo lakini hakuna kukata tamaa. unless kama una 15m hadi 20m utapata kiwanja fasta hapo hapo GEZA hivi hivi walivyogawana.
 
Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....

meno kama haya katumia jukwaa la mapenzi hapa tunajenga nchi, hakuna mwenye woga na wabaka panzi kama wewe, CRAP
 
TOFAUTI YA MTANZANIA NA WANA CCM,
SALAMU ZANGU KWA KIKWETE
MAISHA YAKO BORA HAPO IKULU NI SALAMA NA VIFO VYA WATANZANIA WANAOKUFA KWA KUISHI KATIKA HALI NGUMU
UPORAJI UNAOFANYIKA KATIKA ILI TAIFA NI WEWE WA KULAUMIWA, HII IMEANDIKWA KATIKA MIOYO YA WATANZANIA
KAMA UTALIPWA HAPA DUNIA, UTALIPWA KUZIMU

JK+Dar+2.jpg

KIKWETE HAKITUMIA KODI ZETU

View attachment 33871
MAISHA YA WALIPA KODI
 
Halafu kumbe huyo khalfan ni dogo...duh! Nchi inaenda wapi hii..kifisadi kinachochipukia.
 
Back
Top Bottom