Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole

Halafu nikuambie tu kua usifikiri hao jamaa uliowataja nao walipanga foleni ya benki, ya kuchukua fomu na kisha ya kurudisha fomu kama wewe,
hao vilitembea vi-memo tu vyenye mihuri na sahihi za wakubwa tu.
Hii nchi kama ni mpira inabidi tu-assume refa kapoteza kadi na filimbi hivyo kaamua kutoa ofa ya rafu,
tupigane weeeeee!! ndipo heshima itakapokuwepo,
hawawezi kutunyanyasa kisa tu wao wana serikali.
Viwanja vya Burkha Arusha vingi wamejimilikisha wao,
 
Naomba kuuliza wajamen,alfani kikwete ni nan na ana mchango gani ktk maendeleo ya tz?
 
There days are numbered my brother unachotakiwa kufanya ni kutokufa moyo maana maeneo ya Wazi yenye thamani tutayapata tukishawangoa baba zao Madarakani

Ila kwa KURA
 
Binadam hawezi kuona katendewa haki, mpaka aipate yeye hiyo haki, wakipata wengine basi si haki.
 
Tanzania yetu ni moja, watu wake wana upendo, kila mtu ana haki sawa maana binadamu wote ni sawa "Azimio la Arusha"

UFISADI SI KWENYE ARDHI TU, KAMA MNA Ndugu au jamaa wanaofanya kazi migodini waulizeni makampuni yanayo hudumu niya kina nani.
 
Kwa vile Tanzania inaongozwa na Utawala wa Sheria, basi nyie mliokosa viwanja mna haki kamili ya kukata Ruffaaa na kujua ni kigezo gani kilitumika katika kugawa viwanja hivyo.

Na msiporidhika na hapo mna haki kamili ya kwenda mahakamani na kusimamisha zoezi lenyewe mpaka suala lenu litakapopatiwa ufumbuzi.

Pole sana ila tumia haki yako kisheria na kikatiba
Barubaru,
Nani kakudanganya kuwa Tanzania inaongozwa na utawala wa sheria? Ulikuwepo lini mara ya mwisho? Tanzania ya leo inaongozwa kwa utawala wa kufahamiana.
 
Hata mimi yalinikuta mwaka jana hapa kwetu Arusha kuhusiana na vile viwanja vya Burka, majina ya mwanzo yaliopewa kipaumbele japokua na mimi pia nilichukua form kama 5 lakini jina la mwanzo lilikua ni la Riziwani Kikwete! Kweli kifo cha wengi ni harusi!
khaaah!yani huyo m.s.e.n.g.e anamilik ardhi arusha?
 
Mkuu sometime other advert appears by formality to fool poor like us. U might find those plots were sold to them five years ago. Hii ndiyo bongo
 
Wakuu hizi mambo za viwanja vya miradi mimi ilishanikutaga!vilikua viwanja vya Kigamboni eneo la Kibada!jamaa wa ardhi wana hodhi viwanja vingi!then wanabamiza!ukijitokeza wanakuambia mwenye hiki kiwanja anataka kuuza!kumbe hakijauzwa wala nini!ukitoa advance wanazunguka wanalipia milioni 2 then wanakubamiza milion 9!niliachana nao baada ya kugundua huo mchezo mchafu!nikajisalimisha zangu kweny squarter mambo mswano!

Nilivyoona hilo tangazo la hivyo vya Gezaulole wala sikujigusa!nilijua tuu ntakua napoteza mda wangu kupanga folen halafu stafanikiwa!
 
Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....

Hivi wewe unajua huyo Khalfan ana umri gani? au ndio hujui Kikwete ni nani? Shame on you and your type!

JK+Dar+2.jpg
 
Paulo usije kucheza na sisi unaamikono michafuuuu utachafuka hata kunuka aiseee usiumize kichwa na kina paulo utalia kuna mtoto wake mwingine anaitwa riz-1 amekuja na kampuni ya paradise si ndio utakufa mwenyewe kujihami kashirikisha wakenya
stay tuned
 
"Aliye juu mngoje chini" ...kama unaamini kauli hiyo endelea kungojea lakini usisahau kuandika kwenye wosia wako maana na vitukuu vitaendelea kungojea pia!! Cha msingi hapa ..."mfuate huko huko juu"
Kaka pole sana,tuzidi kumbambana kwa ajiri ya kuwatoa madarakani hawa CCM mana watoto wao ndiyo huwa wanafaidi, mali za wananchi maskini watanzania.
 
Back
Top Bottom